Kiwanja tu mkuuUkiachana na kipato cha 150,000 kwa mwezi unamiliki assets za bei gani?
Natamani kukushauri utafute kwanza hela ila sasa umri umeenda hakuna namna. Tatuta mwalimu umpige mashine vizuri ukimuoa ujibidiishe kutumia vizuri kipato chake ili mtoboe kama familiaKiwanja tu mkuu
Kazi yangu biashara ndogo ndogo
Kipato kwa mwezi ni 150,000 ,tukiungana kitaweza ongezeka
Umri wangu miaka 35
Sina mtoto na sijaoa
Mrefu wa wastani na mwembamba
Sifa za mke
Awe 25 yrs na kuendelea
Asiwe single Mother
Rangi yoyote zaidi zaidi mweusi
Elimu isizidi diploma
Mwalimu atapewa kipaumbele ila sio lazima awe ameajiriwa au kuwa na taaluma
Asiwe mlevi sana
Kabila lolote
Nawasilisha
@cc binti kiziwiKazi yangu biashara ndogo ndogo
Kipato kwa mwezi ni 150,000 ,tukiungana kitaweza ongezeka
Umri wangu miaka 35
Sina mtoto na sijaoa
Mrefu wa wastani na mwembamba
Sifa za mke
Awe 25 yrs na kuendelea
Asiwe single Mother
Rangi yoyote zaidi zaidi mweusi
Elimu isizidi diploma
Mwalimu atapewa kipaumbele ila sio lazima awe ameajiriwa au kuwa na taaluma
Asiwe mlevi sana
Kabila lolote
Nawasilisha
JootroSasa hivi Kila Mwanaume fb na insta anataka mwanamke mweusi 😀😀😀
Kidogo au asiwe mleviKwa hiyo awe mlevi kidogo?
Ni hasaraKwa hiyo awe mlevi kidogo?
Huenda anataka baada ya kumuoa huyo mwalimu, amshawishi akakope benki ili aboost biashara. Hakuna sababu nyingine hapo.Samahani kwa usumbufu, kwanini mwalimu?
Kibanda cha huduma za vocha na pesaMungu akufanyie wepesi upate hutaji la moyo wako.
Ukiachana na kuoa. Unafanya biashara gani?? Tuone tutaboost vipi hicho kipato hata kwa kukuungisha.