Mke mwenye vigezo hivi anahitajika

Kipato chako ni 150,000 kweli wataka kuoa, kuna watu wana vichaa sio bure, utajinyonga bure acha kujitafutia matatuza mtakula nini?
 
Kila la kheri mkuu.
Ila ningekushauri uangalie mtaani kwenu ama maeneo ya ibada. Pata mwanamke mcha Mungu achana na mambo mengine sijui elimu ama umbo ama umri.
 
Utampata kabisa natena watakulea watakupa hitaji la pesa utakalo napia watafurahi kukupata unasema asiwe na mtoto na bado hujajipanga kimaslahi humu wengi masingle mother labda upeleke hili tangazo kwa wazunguu ndio unaweza pata
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Bandiko kama hili la kutafuta mwenza bila baraka za Amehlo mambo yanakuwa hayajakaa mkao!
Hebu njoo utie ubani!
yaaani nimeusoma mapema sema niko na hekaheka za kusafiri nikaishia kucheka moyoni πŸ˜‚

amezingua kuweka kipato cha mwezi ila Mungu amtangulie apate hitaji la moyo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…