Mke mwenye vigezo hivi anahitajika


Unapata single maza anasababishq kipato kiwe milioni kwa mwez bado utakataa[emoji23]
 
Mm naamini wee una pesa 1.5m ndfdio maokoto yako hyo
 
Kipato chako ni 150,000 kweli wataka kuoa, kuna watu wana vichaa sio bure, utajinyonga bure acha kujitafutia matatuza mtakula nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaaaa
 
I still don't understand kwanin watu wengi wanasema jamaa kazingua, kuweka kipato chake hadharani..
Wats wrong with that?
Mwenye uelewa anieleweshe
That is a trick maana yake mwanamke msaka pesa hapo hawezi kwenda. Najua mwenye akili ashaona hapo. Jamaa ana zaidi ya hiyo kwa mwezi sema kaweka hiyo kama chujio.

Soma maandishi yake. Anataka mwenye elimu ya ualimu. Maana yake anajua kuhusu elimu anataka kuanzisha mradi wa shule ya chekechea / nursery school ktk hicho kiwanja chake hivyo huyo mkewe atakuwa hapo nyumbani akifanya kazi.

Ndiyo maana kasema kama siyo mwalimu basi awe form four. Maana yake ana ramani kuzidi hiyo laki na hamsini aliyoisema hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…