Mke mwenye vigezo hivi anahitajika

nawaona wengi mno pale kawe kwa Mwamposa aise wanasalimia kwa heshima hao 🐒

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Haijalishi umri utaenda kiasi gani ila zingatia usioe mwenye mtoto
 
Watu wanaingia field wanatumia muda na maarifa yao vzr kupata mke mwema na bora lkn hizo ndoa bado hazifik mahala.

Nakushauri, pambana kutafuta mtu sahihi achana na mambo ya mitandao.
Utakuja kusaga meno....
Kosea vyote ila sio kuoa
 
Kumbe una 35 na kila siku unaandika Pumba?
 
Asante kwa kuniita kwenye fursa, nina vigezo 90% isipokuwa rangi na elimu.

Ngoja nione namna gani ya kuyajenga na mleta mada! Ila sasa itabidi niachike kwanza.

Halafu utaniambia kwanini umeniita hapa 🤣
Ahaaaa... ati kwa nini nimekuita? Nimekuita kwa sababu uandishi na mchango wako unaonyesha wewe ni mtulivu, huna makeke na unafikiri kabla ya kujibu. Nandani ni mke material, kama uko available. Na pia sijaona kama siku mbili tatu sijaona mchango wako nikajuiliza umepotea wapi?
 
Sema i miss you bila kusema i miss you! 😅 okay i miss you too, Jokes aside Yah hizi 2-3 days nilikua a bit occupied.

But niko poa kabisa. How are you……
 
Sema i miss you bila kusema i miss you! 😅 okay i miss you too, Jokes aside Yah hizi 2-3 days nilikua a bit occupied.

But niko poa kabisa. How are you……
''Sema i miss you bila kusema i miss you!'' Hapa sasa ndiyo unaonyesha rangi halisi za binti kiziwi . Maneno machache lakini yanaonyesha kichwani kulivyochangamka. Umenisoma na kunielewa kama kitabu cha Bulicheka. Mimi sijambo kabisa ila kama kila mtu anavyolalamika.... maisha magumu...
 
Sisi waumini tuko kwenye mfungo ngoja tuendelee kuombeana, mimi tangu napata akili nasikia tu maisha ni magumu, so nadhani ugumu ndio maisha yenyewe.

Tuendelee kupambana.
 
Ngoja nipate kazi nije tujazie kidogo iyo 150K.. sawa future hubby.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…