Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ukiokota mwanamke kwenye dansi la msondo ngoma ndo matokeo yake
Ana uhakika gani mke anaiba?unajua kuna mapepo yanatumwa kwa ajili ya kuharibu ndoa na ndo yanaweza yakawa yanaiba yeye anadhani mkewe,imeshatokea kwa ndugu yangu kabisa anaweka hela usiku asubuhi hamna na wako wawili tu,maombi yaliwaokoa na pengne mke analia coz haamini mume wake anaweza kumdhania mwizi?wakae pamoja waongee wajue tatizo,mi coni kwa nn mkeo aibie au haachi hela ya matumizi?
ukiokota mwanamke kwenye dansi la msondo ngoma ndo matokeo yake