Mke Mwizi!!!

ukiokota mwanamke kwenye dansi la msondo ngoma ndo matokeo yake

Sio kweli, U can still get her in the church tena a leading vocalist in church choir, and yet akawa the most kicheche u have ever seen. Mke mwizi!!!!!! Jamani hili si janga la kitaifa! Kwa ujumla mke anayekuibia she doesnt trust you! and probably she does not love you neither! So changanya na za kwako!
 

umenena lililo la busara
 

KAma hiyo mifuko ya cement anaiba anapeleka wapi?
Hebu amwone mtaalamu wa saikolojia inawezekana mkewe ana 'hobby' ya wizi......... yaani asipoiba yeye anajihisi kama teja lililokosa dozi
 

kama haachi hela ya matumizi ndo aibe?
 

mhhhhhh!!
 
Bjbj uliongea kwa mazingira ya kutokuwa na uhakika kwamba vitu huwa vinapotea tu, mwambie jamaa aweke mtego wa kuaminika, siku anamdaka uso kwa uso ni police, baadae talaka, maana mwizi katika jamii ni sawa na mchawi, wote ndo warudishao maendeleo nyuma.
 
Kuna uwezekano mkuibwa kuwa mke kanusa harufu ya wizi kwa mumewe, kwa anavyomuibia mumewe, mumewe mwenyewe havipati kihalali na kumpa mkewe hampi, sasa na yeye kaamuwa kujichukulia. Jee, mtoa mada una uhakika huyo aibiwae kuwa yeye haibi?
 
Anaiba anapeleka wapi?isije akawa ana mwanaume mtaani alafu anamgharamia..
 
Amrudishe kwa wazazi wake..
huko kijijini kwa wazee watajua la kufanya
kwani kasha komalia na ni vigumu sana kumfunza
mtu mzima na akili zake .. ingekuwa mtoto afadhali
 
<br />
<br />
Nilijua tu lazima uniquote.

Hahaa, Dena bana!!Juzi umekataza Sredi zenye jina lako zikomeshwe,leo tena unakataza kuku-qoute...ngoja nisubirie la kesho...hope utasema tusisome comment zako!!teeheteheee
 
Hahaa, Dena bana!!Juzi umekataza Sredi zenye jina lako zikomeshwe,leo tena unakataza kuku-qoute...ngoja nisubirie la kesho...hope utasema tusisome comment zako!!teeheteheee
<br />
<br />
Umenielewa vibaya my dear sijakukataza kuniquote endelea tu kufanya kile upendacho "UHURU WA KUONGEA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…