Japokuwa wote wana makosa lakini mke ndiye mwenye makosa zaidi, kwa sababu mwanaume ni kawaida kumtongoza mwanamke bila kujali au kujua yeye ni mke wa mtu, au si mke wa mtu. Lakini kitendo cha mwanamke kukubali kuvua sketi, gauni, suruali na chp yake na kumkaribisha mume wa mtu hapo ni kosa kubwa zaidi,

Ahahahahaaaaaah!Hee jamani kwani wakati mwanamke anavua sketi/gauni/chupi huyo mwanaume ndo anachomekea shati?!!!
Wote wana makosa.Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe 20 au pesa taslim sh milioni moja,anakubali kwenda kutoa nguo zake zote mbele ya jamaa mwingine?Yupi ni mjinga hapa??
Hee jamani kwani wakati mwanamke anavua sketi/gauni/chupi huyo mwanaume ndo anachomekea shati?!!!
Touché! Mwanamke ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho kukubali au kukataa. Kwa hiyo, kama ulivyosema, wote wana makosa lakini mwanamke ana makosa zaidi kwa kukubali.
Naye anakuwa anajiandaa kutimiza malengo yake ya kumchapa nao huyo mwanamke mhusika. Kumbuka kuwa sisi wanaume tumeumbwa kutamani kwa kuona hivyo mvuto wa kwanza wa mwanamke kwetu ni wa kingono zaidi then romance inafuatia, ilhali ninyi wenzetu ni kinyume chake.
kwa hiyo swali ni kwa nini mwanamke amruhusu mwanaume mwingine amfanye wakati ana mume nyumbani?
Mwanamke ndiyo mwenye hatia zaidi, naomba kutoa hoja.
na mwanaume hana kosa KWA KWENDA KUMTOKEA MKE WA MTU?
wote wana makosa full stop.
Japokuwa wote wana makosa lakini mke ndiye mwenye makosa zaidi, kwa sababu mwanaume ni kawaida kumtongoza mwanamke bila kujali au kujua yeye ni mke wa mtu, au si mke wa mtu. Lakini kitendo cha mwanamke kukubali kuvua sketi, gauni, suruali na chp yake na kumkaribisha mume wa mtu hapo ni kosa kubwa zaidi,
Je ni nani mwenye makosa,je ni mume anaetambua kabisa yeye ni mume wa mtu anaekwenda kumtongoza mke wa mtu na kwenda kuvuana nguo au ni mke wa mtu anaetambua yeye ni mke wa mtu aliyelipiwa ng'ombe 20 au pesa taslim sh milioni moja,anakubali kwenda kutoa nguo zake zote mbele ya jamaa mwingine?Yupi ni mjinga hapa??
sjakwambia kwamba mwanaume hajjui km una ndoa...ANAJUA KM UMEOLEWA NA UNA NDOA IMARA STLL ANAKUFATAmwanaume atajuaje kama wewe ni mke wa mtu kama hukumwambia?wewe umetongozwa ukajiachia kwa msela, na akakupiga ngozi kumbe mke wa mtu!je, huoni kama hapo mwanamke una makosa.Laiti kama ungemwambia kuwa ni mke wa mtu na bado jamaa akaendelea kukusumbua basi hapo kunakuwa na walakini!!
wote wana makosa, kosa linaanzia pale mwanaume anaanza kumtani mwanamke mwingine wakati una wako ndani
Sheria ya mungu inasema usitamani mwanamke asiekuwa mke wako,
Utajuaje kama mwanaume amekutamani we bidada?