Mke na Mume, Nani mkosaji?

Hakuna mwenye kosa hapo, its a human nature kutaka vitu vya wengine au ambavyo huvimiliki wewe....we cant fight the nature!!!!
 
siwaelewi kama mwanamke ndo alitongoza unaiwekaje
Touché! Mwanamke ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho kukubali au kukataa. Kwa hiyo, kama ulivyosema, wote wana makosa lakini mwanamke ana makosa zaidi kwa kukubali.

 
kama mlivo mnataka kuhalalisha upupu wenu kwaheri
 
Utajuaje kama mwanaume amekutamani we bidada?

Ntaongelea wanaume waliooa tu, kitendo cha yeye kuanza kunitongoza mimi moja kwa moja ntajua ni tamaa tu ndo zinamsumbua
 
Hapo hamna mjinga ila kuna wazinzi
 
Kama mwenzio (Mkeo/Mumeo) anajua kuwa unakwenda kufanya hivyo kabla, basi kutakuwa hakuna kosa maana yeye atabaki tu kuwa na kazi moja ya kuamua kubanana au kukaa pembeni. Lakini kama unafanya hivyo bila mwenzio kujua, hilo ni kosa kubwa sana bila kujali jinsia, wala mwanzilishi, bali umri na nguvu iliyotumika kufanikisha hilo....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…