Valentineoneday
Member
- May 28, 2011
- 67
- 60
<br />Hii kama ilishapita hapa vile.............
Mie naamini yapo unayoweza kumwambia mke/mume na usimwambie mzazi na yapo unayoweza kumwambia mzazi na usimwambie mwezi wako tena basi hata awepo huyo mwenza. Umuhimu wa wazazi ni wa kudumu zaidi hata kama mnakuwa mwili mmoja au nusu mwili au miili elfu.Mke na mume ni zaidi ya ndugu ni zaidi ya marafiki,wale ni mwili mmoja,kuwa mwili mmoja kuna maana ya kuwa kitu kimoja kama unajua maana ya kuwa mwili mmoja utamheshim sana na kumjali mwanandoa wako maana wewe ni yeye na yeye ni wewe,hamtofautishwi,ndio maana kuna mambo yanayokuhusu hawezi kuambiwa baba yako au mama yako au ndugu yako yoyote anaambiwa mwanandoa wako tu na hayo ni yale mambo nyeti,akiwa hayupo ndo wanaweza kuambiwa wazazi au ndugu zako!Ndoa ni kitu cha thamani sana!Usiichulie kawaida!Kama uko kwenye ndoa itunze!
Hii kama ilishapita hapa vile.............
Hivi mke na mume ni ndugu au marafiki?
Na kama ni ndugu kwanini ndugu wafanye mapenzi?
Na kama ni marafiki basi na watoto wawe marafiki tu!
Post what you think about this