Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike.
Mke akamuuliza meneja wa shamba:
"Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo la ndoa kwa siku?"
Meneja akajibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku."
Mke: akamtazama mumewe na kusema....."umesikia!!!"
Kisha mume akamuuliza meneja: "Unamaanisha mara 6 kwa siku na ng'ombe jike yule yule?"
Meneja akasema, "Hapana, Hapana, na ng'ombe jike tofauti kila siku."
Mume akamtazama mkewe na kusema, "umesikia?!!!"
Ugomvi zikaanza!!!
Unadhani ni nani chanzo cha ugomvi huo na kwanini?!
🤣🤣🤣