Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
618
Reaction score
1,440
Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike.

Mke akamuuliza meneja wa shamba:
"Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo la ndoa kwa siku?"
Meneja akajibu: "Mara 6 au zaidi kwa siku."

Mke: akamtazama mumewe na kusema....."umesikia!!!"

Kisha mume akamuuliza meneja: "Unamaanisha mara 6 kwa siku na ng'ombe jike yule yule?"

Meneja akasema, "Hapana, Hapana, na ng'ombe jike tofauti kila siku."

Mume akamtazama mkewe na kusema, "umesikia?!!!"

Ugomvi zikaanza!!!

Unadhani ni nani chanzo cha ugomvi huo na kwanini?!
🀣🀣🀣
 
Ng'ombe dume, ndio chanzo cha yote
 
Chanzo ni Ng'ombe.
 
Kwanza umekosea, ng'ombe hashiriki tendo la ndoa kwani yeye haoi ila yeye upanda majike akishikwa na nyege tu.

Ugomvi hapa kauleta mwanamke kwa sababu hatombwi ipasavyo na jamaa yake, yeye anataka goli zaidi ya hat trick na kukunjwa kama kambale aliye tayari kubanikwa pamoja na kupakuliwa kisamvu kama wenzake.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…