Man sometimes it is OK to call a spade a big spoon ...................hhahWanawake ni wakorofi sana especially kama baba anadrive...Lazima atakusahihisha bila sababu njiani!...aaahh... pitia njia ile mi nina haraka bana, mara..aahh si unaona sasa tumezibwa...mara bwana unakimbiza sana, hatuna haraka hiyo!, mara nipeleke kwa nanihino, halafu unifuate baada ya nusu saa!..!
Kwahiyo safari inakuwa full-boring, na at least ukiuchuna unakwepa mambo mengine!
Sifahamu sana kuhusu nyumba ndogo!
maongezi na "nyumba ndogo" yako kwenye "buffer"! - yanaongelea bia, nyama choma, gari zuri, shopping, and all sort of temporary "shit*" - overnight stories basi!!!!!!! Maongezi kati ya mume na mke yapo kwenye "rom" - ni maongezi ambayo yanaweka sawa mustakabali wa maisha in the next 20 or 30 or even 50 years to come - it is not somethng than you can "enjoy"!