Mke na pombe, wanaume mnashauri nini????

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549

wakisha onja tuu, kizunguzungu kinaanza.

WENGINE NDOO HUJISAHAU KABISA HADI KUJIKOJOLEA.
 
wamevamia, sio mahali pake. juice na vojoti labda vinaweza vikawaweka sawa. Hii nafikiri pia kuna tofauti ya ubongo.
 
Kuna mpenzi wa rafiki yangu anakunywa Safari 12 siku akibadili anakunywa chupa mbili za konyagi bila maji na huwezi kujuwa kalewa demu ana kichwaa cha pombe balaa.
 
Kuna mpenzi wa rafiki yangu anakunywa Safari 12 akibadili anakunywa chupa mbili za konyagi bila maji na huwezi kujuwa kalewa demu ana kichwaa cha pombe balaa.

Huyo unahaki umshangae , maana si kawaida mwanamke anywe nusu chupa asione dunia inazunguka kushoto kulia, chini juu, bala tupu.
 
Huyo unahaki umshangae , maana si kawaida mwanamke anywe nusu chupa asione dunia inazunguka kushoto kulia, chini juu, bala tupu.
Halafu kiumbo ni mdogo hata kwenye mkono hatoshi.
 
Halafu kiumbo ni mdogo hata kwenye mkono hatoshi.

huyo ni hatari, ninacho shindwa kuelewa hasa , kwanini wengin wao pombe inawachanganya mapema kuliko wanaume??
 
Kama nyie mnakunywa na mnalewa mpaka wengine kumwaga radhi hadharani kwanini kwetu iwe tatizo!!Tatueni pande zote mbili bwana...sio kila kitu mnakandamizia kwetu zaidi!!!:disapointed:
 
kama nyie mnakunywa na mnalewa mpaka wengine kumwaga radhi hadharani kwanini kwetu iwe tatizo!!tatueni pande zote mbili bwana...sio kila kitu mnakandamizia kwetu zaidi!!!:disapointed:

lakini inavyo onyesha wanawake, wanalewa haraka kuliko wanaume. Hatukatai kulewa kwa wanaume , lakini ebu tuangalie kwanini mnapata kizunguzungu just kuonja tuu. Halafu mwanamke akilewa na kuanza kuleta vituko ni kitu ambacho si kuzuri kutokana na heshima mnayompewa katika jamii.
 
Kuna wanaume wakinywa bia 2-3 tu anaanza ugomvi/kutukana kwahiyo tatizo lipo pande zote.
 
Kuna wanaume wakinywa bia 2-3 tu anaanza ugomvi/kutukana kwahiyo tatizo lipo pande zote.

Naona match imeanza vizuri, mie nibakie kuwa mtazamaji. hai thredi liishe.
 
Kwasababu hatujazoea ulevi....ila wapo wanawake wanaoweza kuzihimili...pia kina baba wanaopepesuka baada ya mbili tatu!!!
Kuhusu heshima kwani ya baba sio muhimu????Embu kaba kote kote!!
 
Kwasababu hatujazoea ulevi....ila wapo wanawake wanaoweza kuzihimili...pia kina baba wanaopepesuka baada ya mbili tatu!!!
Kuhusu heshima kwani ya baba sio muhimu????Embu kaba kote kote!!

Sasa lizzy tunaenda pamoja, ila nikuulize swali. Unajua vichochoro vyetu vya hapa bongo. Ukikuta mwanaume amelala njiani na giza, na mwanamke amelala naye gizani saa nne usiku amelewa, Ivi yupi atakuwa katika mazingira yahatari??. Mie naona mwanamke ndoo ataadhirika zaidi, si unanipata hapo kipenzi??
 
Kwa jinsi dunia ilivyoharibika????Hata baba anakua hatarini sana tu aisee....
 
Kwa jinsi dunia ilivyoharibika????Hata baba anakua hatarini sana tu aisee....

Haya, tuzungumzie hivi (samahani lakini lizzy): Ubakaji.

Wengine wana watototo wadogo. Sijajua swala la mapenzi mwanamke akilewa linakuwaje kwa maana kwamba anaweza ruhusu mapenzi ambayo si salaama kwa maana ya kupata mimba ambayo hakutarajia.
 
hii hatari kuna unyumba hapo maana ukisafiri nyuma na yeye anaenda kuzima bar na kama ni bongo akiwa anazima hivyo nyumba itapona kweli na ngoma?
 
Na ndicho nilichomaanisha kua hata kwa kina baba kinawezekana siku hizi!!Watu wamepinda wewe:nono:!!

Lakini lizzy, hivi kipi rahisi. mwanaume kumbaka mwanamke, au mwanaume kumbaka mwanaume mwenzake??
 
hii hatari kuna unyumba hapo maana ukisafiri nyuma na yeye anaenda kuzima bar na kama ni bongo akiwa anazima hivyo nyumba itapona kweli na ngoma?

Mie ndo wasiwasi wangu hapo, mtu akilewa anaweza toa ruhusa bila kujijua.
 
Lakini lizzy, hivi kipi rahisi. mwanaume kumbaka mwanamke, au mwanaume kumbaka mwanaume mwenzake??

Mhhh bado naenda kwa speed ile ile ya wote wako hatarini tegemea na mazingira aliyopo!!!Nadhani we unachukulia udhaifu wa mwanamke kwamba ndo utamfanya yamkute kirahisi ila hata mwanaume aliyezima sidhani kama ana nguvu hata ya kufukuza inzi!!!
 
mwanamke asilewe sana kama mwanaume kwa usalama wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…