Mke namtafuta: P'se PM

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Umri wa mimi: 32
Elim : Advace
Urefu : 5.9 ft
Uzito : 72 kg
Rangi : Chocolate

Natafuta mchumba atakae nifaa kuwa mke, awe mkweli na mwenye mapenzi ya dhati.
Umri kati ya 24-32. Zaidi ni-PM
 
Dah! nimependa rangi yako....
ila punguza uzito tuwasiliane utakuwa mzito sana.
 
duuh nimekuzidi kilo nina 80
 
Umri wa mimi: 32
Elim : Advace
Urefu : 5.9 ft
Uzito : 72 kg
Rangi : Chocolate

Natafuta mchumba atakae nifaa kuwa mke, awe mkweli na mwenye mapenzi ya dhati.
Umri kati ya 24-32. Zaidi ni-PM
mkuu kama ukimpata wa humu na akatulia ,unipe mbinu ulizotumia maana wengi wa humu ni mazwa zwa kinoma , usomi wa div. 0 ndiyo wamo
 
Dah! nimependa rangi yako....
ila punguza uzito tuwasiliane utakuwa mzito sana.


Asante kwa kuipenda rangi yangu na si mimi.
Asante kwa ushauri, nitapunguza uzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…