Mke ni mhitajiwa na sio mpendwa kwa mumewe

Mke ni mhitajiwa na sio mpendwa kwa mumewe

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia malengo hayo
Hivyo uendelevu ni pale mke (mhitajiwa) anavyoishi na kuenenda namna mume ama mhitaji alivyotaka na anavyotarajia.

Misingi inajengwa na kuwekwa na mhitaji kwa maana ya mume.

Kwenye kuchepuka ndio kwenye matumizi ya neno kupenda ila sio kwenye ndoa.

Nimewaletea tafakari ya pasua kichwa ya kuchagua kuishi au kuisha.

Ukitaka kuisha fanya uhitaji na ukitaka kuisha fanya kupenda.

Note: Mimi wa ndani ni tofauti na yule wa nje.

Note: Wewe wa ndani ni tofauti na yule wa nje.

Tushinde byee na siku iwe njema.
Inshallah. 👍👍👍
 
Ok, nini kinacho mzuia mhitaji(mume) asimpende mhitajiwa( mke) na badala yake ampende mchepuko?

Na kipi kilichokufanya wewe uone kuwa ni mume tu ndie mhitaji na sio mke pia anauhitaji?
 
Back
Top Bottom