Baba Nia
Member
- Sep 26, 2021
- 78
- 73
Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafute mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela.
Si kwamba kwetu sijaona, la hasha nataka! Kuchanganya damu. Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani au nikioa si automatically anakua mtz.
Tueleweshane nivute jiko wakuu, seriously