Tayari mm nina goma lipo kampala hapo ame nikaribisha nikamtembelee december ... Ndio namfikiriaTwenzetu mkuu
Waganda ni wakarimu sana,sema ni watu wanaopenda kuishi kwao,....kuhusu kuvuka mpakani,haina shida as long as ana Valid Uganda Passport,yellow fever card na covid-19 Vaccine card.Safari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafte mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela,Sikwamba kwetu sijaona lahasha nataka kuchanganya damu.....Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani? au nikioa si automatically anakua mtz....tueleweshane nivute jiko wakuu seriously
Ila demu lenyewe bayaa sasa ila lipo vyedi ana kazi nzuri, kaenda shule ..so huenda akani zalia watoto waerevuSafi sana mkuu wewe upo hatu 50 mbele hapo ukipata chance wekeza mbegu
Nimekupata vema mkuu,Hizi documents zinahitajika zote ninapovuka mpaka pia?Waganda ni wakarimu sana,sema ni watu wanaopenda kuishi kwao,....kuhusu kuvuka mpakani,haina shida as long as ana Valid Uganda Passport,yellow fever card na covid-19 Vaccine card.
Wana maji hao π π π π πSafari yangu ya kuelekea Uganda imekaribia na licha ya kujifunza humu kuwa kuna fursa nzuri ya biashara kule nimeona nikatafte mke mwema huko nirejee naye Tz niagane na ubachela,Sikwamba kwetu sijaona lahasha nataka kuchanganya damu.....Wataalam kuna shida ya kuvusha mke mpakani? au nikioa si automatically anakua mtz....tueleweshane nivute jiko wakuu seriously