Nyimbo ni kazi za sanaa mkuu. Kazi za sanaa zinaweza kuwa za kufikirika na kidhahania tu (abstract).Ukitaka usafi hakikisha na ww pia ni msafi, unaimba uaminifu wakati ww naye ndo wale wale hapo ni kudanganyana lazima mwisho wa siku mgawane mbao.
Kwani babu wewe ni kataa ndoa?Hatimaye Kataa ndoa wamejipatia point zao 3 muhimu.
Shida ipo wapi hapo?🤔 Yeye akomae tu asiletewe watoto ndani ya nyumba yake. Wakae na kulelewa na mama zao huko. Au kama atamudu aagize waletwe.Wakati mwingine wanawake hawahitaji kulaumiwa kwenye maamuzi yao huwezi kuwa na mke ndani halafu watoto waliojaa ndani ni kutoka nje ya ndoa
Kwann anaondoka sasa. Ameweza kuishi na mwanaume miaka 29 ashindwe kumalizia utu uzima nae?Hapa ke ataitwa gold digger wakati kaolewa jamaa akiwa hana kitu, kasalitiwa sana ila lawama zote atabebeshwa mwanamke daah
Kwann anaondoka sasa. Ameweza kuishi na mwanaume miaka 29 ashindwe kumalizia utu uzima nae?
Hapo ndugu na marafiki wamechochea moto na kumjaza kuwa akomae apate mgao wake mapema akafanye life lake.
Halafu umri huo atakwenda kukutana wapi na mtu wa kumreplace Akon?🤔
Cha zaidi atskutana na wahuni na watumiaji au watu watakao mletea migogoro zaidi ya ndoa.
Jichanganye Moureen auze Nyumba zote akuache na viwanja butu.acha wapumbavu waendelee kupigwa
Na wasio na stress watakuja kumuangushia lawama nani?Wenye stress watakuja kumwangushia lawama huyo mwanamke!
Senegal mara nyingiAnaishi wapi
Hii inaweza kuwa ni dalili ya kuondokewa na utu moyoni, Mkuu hukuniweka tena kwenye ignore list yako?Why should I care?
That is the question I am asking myself.
So far, I am failing to see a reason to care.
Kitambo sana.... Kwa hiyo pigia kabisa na mstari _________Kwani babu wewe ni kataa ndoa?
Jirani yakoSenegal mara nyingi