Mke wa aliyekuwa Rais wa Zamani wa Gabon Ali Bongo na mwanae wahstakiwa kwa ufisadi

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Sylvia Bongo, mke wa Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo, pamoja na mtoto wao Noureddin, wanakabiliwa na kesi kwa tuhuma za kufuja fedha za umma. Wawili hao, wanaoishi uhamishoni mjini London, wamekanusha mashtaka hayo na kudai kuwa waliteswa wakati wa kipindi cha miezi 20 walichokuwa kizuizini baada ya mapinduzi ya mwaka 2023.

Jumatatu, washitakiwa wenzao tisa walifika mahakamani mjini Libreville. Wanatuhumiwa kutumia hali ya udhaifu wa rais wa zamani aliyepata kiharusi mwaka 2018 kuendesha nchi kwa maslahi yao binafsi, madai ambayo wameyakanusha.

Kesi hiyo katika Mahakama ya Rufaa ya Libreville iliendelea bila familia ya Bongo, ambao waliruhusiwa kuondoka Gabon kuelekea London baada ya kupewa dhamana kwa sababu za kiafya.

====================

The trial of Sylvia Bongo, wife of former Gabonese President Ali Bongo, and their eldest son Noureddin, along with 11 close associates, began on Monday, November 10, in Libreville before a special criminal court.
While Ali Bongo, overthrown in a coup on August 30, 2023, is not among the accused, his family and associates—dubbed the “Young Team”—face 12 charges ranging from embezzlement and money laundering to forgery, corruption, and criminal association.

They are accused of exploiting their positions in the presidential Palace to seize control of public resources.
Sylvia and Noureddin Bongo are being tried in absentia, having left Gabon in May 2025 for London after the new president, Brice Clothaire Oligui Nguema, allowed them to leave under the condition of maintaining a low profile.

They have publicly denounced the proceedings as a “show trial” and have released videos alleging political motivation, while Noureddin has consistently denied embezzling any funds. Prosecutor Eddy Minang affirmed that justice would be carried out “rigorously, without prejudice or special privileges,” with several witnesses, including former presidential staff, expected to testify.

Civil society groups in Gabon have expressed frustration over the Bongos’ absence, urging that those responsible face accountability. Ghislain Ngui Nze, representing the collective Les citoyens indignés, and Georges Mpaga of ROLBG, stressed that the former First Lady and her son must return to Gabon to answer for alleged financial crimes and human rights violations. Under the United Nations Convention against Corruption, international judicial cooperation could enable the repatriation of assets linked to their alleged offences.
 
Bado Samuya na Kiwete na Abduli na Rizone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…