Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mama Rashidi Gwajima bado hajaomba Talaka?Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.
Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.
Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.
Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.
Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.
Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.
Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).
Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.
Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.
You are better than that.
Christine habari yakoWe kama nani hasa ambae unakuja hapa na conclusion zako ? Mwenye mume wake katamka hadharani,anamjua mume wake vzr,na ukweli anaujua! Haya we km nani unaetaka kuvunja ndoa za watu? Jiangalie
Daaah askof rashid , njoo huku watu wanazidi kufufua kakaburiKwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.
Pili Mungu anatufungua macho wanadamu tuone Na tutambue kweli ipo wapi.
Naerejea kwako Mrs. Grace Gwajima. Kwa wasiomfahamu Grace Gwajima ndiye mke halali wa Josephat Gwajima. Ni mama wa msomi aliezaa na Gwajima watoto 3.
Kwa mliowahi kusali au kukutana na Gwajima mtaungana na mimi kwamba Gwajima ni mzee wa totoz na mama Grace amevumilia kwa muda sana.
Nilishawahi kumkuta live Gwajima akiwa na mmoja wa waimba kwaya wake enzi hizo (Linah Sanga) pale Ubungo Maji wakiwa katika pozi tata sana tena saa 6 usiku baada ya mkesha; sikujua nini kiliendelea baada ya hapo.
Kuna wakati tena muda wa usiku Bi Grace kushuka kwa kushtukiza kwenye ofisi za Gwajima na kumkuta na moja wa waimba kwaya wake. For the first time nilimuona Gwajima akiwa anatetemeka na kumuomba msamaha mke wake.
Kwanini nasema Bi Grace it's time for you to go?
Umevumilia mengi na scandal nyingi kwa mume wako achilia mbali ya kutoka na Frola Mbasha. (which is true 99%).
Kwa hili Gwajima kuchepuka tena kajirekodi Halafu pale ni nyumbani kwako GRACE amevuka mipaka.
Nenda zako kaendelee kufundisha London ulikokuwa.
You are better than that.
[emoji1][emoji1][emoji1] eti an "outstanding job"Me too mkuu! He did an outstanding job
Huyo Ni best ake anayajua mapaziaHeee....wenzetu mnajua mpaka chumbani kwa Gwajima?
....""" Gwajima ana..........."..Kwanza kabisa namshukuru Mungu Leo nimezidi kuamini kwamba kutakuwepo na manabii wa uongo.