Mke wa Benchika kapona!

Kuna ile mechi iliisha, alibak kwenye benchi, kawaza kama dk 10 hivi. Akaamka, akaangalia uwanja, viti kama dakika zingine 10 huku anatingisha kichwa akitia huruma mno.
after the match akapata training ya algeria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…