Mke wa bob junior:Bob junior ana uhusiano usioeleweka na mr festo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mke wa mwanamuziki wa bongo fleva Bob junior aka mkata mauno ametoa duku duku lake kuhusu my ex husband wake huyo kuwa ana tabia chafu na zisizofaa kwenye jamii na ndio maana kaikimbia ndoa yake ili aendelee kuuficha uovu wake." Kuna video ilikutwa kwenye simu ya bob junior akifanya mapenzi na msanii wa filamu,hii video tutaiweka kwenye mitandao ya kijamii ili watu washuhudie uchafu wake,kwa kifupi huyo jamaa sio mwanaume halisi,ana tabia nyingi za kike,kuna mwanaume mmoja amemsave kwa jina la mr festo kwenye simu yake,kuna siri kubwa ya uhusiano wa bob junior na huyo jamaa,tutakuja kuianika ivi karibuni ili jamii ishuhudie uchafu wake" kilisema chanzo hicho cha habari kutoka familia ya mke wa bob junior
 
Same Shit.

Wakifulia wananunua Scandals.

:shetani:
 
Aahaaa siimpatii pichaa anavyoo kataa maaunoo na mjangombee unavyoo ninginiaa?
 
Rumors,sio kila linalosemwa lazima liwepo,may be ni hasira tu za kuachwa
 
Mke wa mwanamuziki wa bongo fleva Bob junior aka mkata mauno ametoa duku duku lake kuhusu my ex husband wake huyo kuwa ana tabia chafu na zisizofaa kwenye jamii na ndio maana kaikimbia ndoa yake ili aendelee kuuficha uovu wake." Kuna video ilikutwa kwenye simu ya bob junior akifanya mapenzi na msanii wa filamu,hii video tutaiweka kwenye mitandao ya kijamii ili watu washuhudie uchafu wake,kwa kifupi huyo jamaa sio mwanaume halisi,ana tabia nyingi za kike,kuna mwanaume mmoja amemsave kwa jina la mr festo kwenye simu yake,kuna siri kubwa ya uhusiano wa bob junior na huyo jamaa,tutakuja kuianika ivi karibuni ili jamii ishuhudie uchafu wake" kilisema chanzo hicho cha habari kutoka familia ya mke wa bob junior

Umeshindwa nini kuiweka kabisa hiyo video? Uhondo unakosekana hapa leta video tuone jamaa anavyoyamwaga mauno kwa mwanaume mwenzake
 
Sio mimi, kwa mujibu wa muke ya bob junior
 
Umaarufu ni mzigo wa mwiba,ukiubeba lazima ukuchome
 
Ukataji mauno kwa wanamuziki ni jambo la kawaida, lakini staili ya ukataji wa yule jamaa ilishanipa mashaka tangu zamani...!!
 
Mke wa mwanamuziki wa bongo fleva Bob junior aka mkata mauno ametoa duku duku lake kuhusu my ex husband wake huyo kuwa ana tabia chafu na zisizofaa kwenye jamii na ndio maana kaikimbia ndoa yake ili aendelee kuuficha uovu wake." Kuna video ilikutwa kwenye simu ya bob junior akifanya mapenzi na msanii wa filamu,hii video tutaiweka kwenye mitandao ya kijamii ili watu washuhudie uchafu wake,kwa kifupi huyo jamaa sio mwanaume halisi,ana tabia nyingi za kike,kuna mwanaume mmoja amemsave kwa jina la mr festo kwenye simu yake,kuna siri kubwa ya uhusiano wa bob junior na huyo jamaa,tutakuja kuianika ivi karibuni ili jamii ishuhudie uchafu wake" kilisema chanzo hicho cha habari kutoka familia ya mke wa bob junior

na huyu mtoto?

amezalisha au amezalishwa?

543914_472292162833992_986460656_n.jpg
 
Mi kitambo tu nshapata waswas kama jamaa pakulika ana saini zote
 
Back
Top Bottom