Mke wa muasisi wa muziki wa Reggea, Bob Marley amesema iwapo atapata mwanamume mwenye uwezo(hakutaja ni uwezo gani), yupo tayari kuanza uhusiano wa kimapenzi na mtu huyo.
last time i checked alikuwa ameolewa baada ya kifo cha bob na akazaa mtoto na jamaa anaitwa Tacky, na wakazaa mtoto anaitwa serita
sina taarifa kama ali divorce....