Mke wa bosi na bosi wangu!

Mhh angalia ndugu yangu wasije wakamaliza na wewe wakakupoteza ili kupoteza ushahidi
 
Huenda huyo boss wako si rijari tena na anachotaka kwako ni mambo haya:
1. Uwe unakamilisha huduma ya unyumba kwa mke wake.
2. Zitatolewa mbegu zako za kiume ili zipandikizwe kwa mke wa bosi apate mimba na watoto wawe wa boss.
3. Kuna hatari unatengenezewa ili kuharibu mustakabari wa kazi yako na mapenzi.
4. Unataka kutolewa kafara ili biashara iende vizuri.
Take care.
 
Ninaondoaje tangazo la Tigo hapo chini kwenye browser yangu? Naona liko on my way.
 


Veve sasa iko tafuta gogoro kuba kwa bana kuba hiyo, nachezea mke na mali, gharama kuba sana talipia weye. SHITUKA ACHA KUJIDHALILISHA.
 
mfanyakazi wa muhindi anaitwa juma alijikata kidole kikawa kinatoa damu!bosi muhindi akamuita ndani akamwambia juma dawa ninayo!akachukua kidole cha juma kilicho na kidonda akakizamisha ktk makalio yake yeye mhindi huku juma anashangaa!siku chache baadaye kidonda cha juma kikapona!

siku chache baadaye muhindi kachukua tomato sauce kajipaka ktk uume,akaanza kulia na kumuita juma chumbani,akamwambia juma naomba dawa kama niliyokupa mimi juzi!.......hivyo ndivyo juma alipoanza kuliwa kalio!

akili kichwani mwako mkuu!
 

Makubwa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

ama kweli unabakwa ukijiona!
 
Upo bado Raia weye?

umerudi toka likizo au?

mie nataka jua u mzima wa afya na haujaumizwa.
 
Kwa kuwa hujaeleza job description yako inasemaje basi kwa mujibu wa maelezo yako wewe ni meneja wa operesheni za hovyohovyo kama:
  • udereva
  • umesenja wa kumpelekea chakula mwajiri
  • kumpa huduma ya kingono mke wa mwajiri wako
  • Kumpa ulinzi kwa kulala nyumbani kwake na kutoa huduma za kingono kwa huyo mama mme wake anaposafiri
  • kumpa escort/ulinzi mke wa mwajiri anaposafiri

Yote hayo umekuwa ukiyafanya bila kupinga wala kuuliza kulikoni. Iko siku huyo mwajiri atakuomba umpe huduma kama unayopewa na mke wake ukiwa ndani ya chumba chao cha kulala. Sijui utakubali bila maswali kama ulivyo utamaduni wako?.
 
inabidi siku umkoleze huyo mazaa wa kihindi umteke akili, then umuulize akuambie kunani hapo? labda mumewe ambaye ni bosi anajua unakulaga na hana nomaaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…