Elections 2010 Mke wa Chenge mbaroni

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
6,997
Reaction score
1,172
Makamanda wa PCCB huko Bariadi wamemkamata mke wa Andrew Chenge aitwaye Tina kwa tuhuma za kugawa hongo ya Sh5,000 na kanga kwa wapiga kura katika vikao vya siri alivyokuwa anavifanya.
Source: Kamanda wa PCCB mkoani Shinyanga-Leonard Ngaiza
 
Wangemwacha amalize kazi ya kugawa ndipo wamkamate, si unajua sasa hivi kuna ukame sana wa pesa?
 
Vijisenti hivyo jamani. duh 5000???????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! for 5 yearsssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kama ni kweli huyo kamanda atafutwa kazi. Ni mwiko kuchukia rushwa ndani ya CCM
 
tunashukuru kwa jitihada ila leo usiku hadi kesho waongeze kazi maana mzigo mzito wa kugawa hizi za mawakala.
 
Kamanda kaonyesha ushupavu lakini katengeneza maadui kwenye ajira yake.
 
Weka ndani kwani yeye nani akivunja sheria ndio aachiwe sheria ni msumeno bana unakata huku na huku. Wachafuzi ninyi wa hali ya hewa.
 
Makamanda wa PCCB huko Bariadi wamemkamata mke wa Andrew Chenge aitwaye Tina kwa tuhuma za kugawa hongo ya Sh5,000 na kanga kwa wapiga kura katika vikao vya siri alivyokuwa anavifanya.
Source: Kamanda wa PCCB mkoani Shinyanga-Leonard Ngaiza

Hii familia ya mzee wa vijisenti mbona imezidi sana kuvunja sheria au ndio walisomea sheria ili iwasaidie kufanya madudu?
 
5000/5/12 = TShs. 83 kwa kila mwezi

Hii ni kali. Mtanzania ananunuliwa kwa bei ya bure kuliko hata fungu la nyanya. Ni matokeo ya vijisenti ambavyo hata Kikwete amevibariki. Piga chini CCM yote na kunyanyua CHADEMA ili iwatumikie watu wote kwa usawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…