Mke wa dadako unamwitaje??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wahshimiwa za jion naona jua lazidi kukimbia,nimekutana na mtu pale faya dk 20 zilizopita
akaniambia eye ameamua kukaa na mwanamke mwenzake wako nae ndani,kimeniuma sana dada mmoja aliekuwa mstaarabu ajabunshuken..nikajiuliza hivi m ddaadangu akiolewa mzee wake namwita shemeji hivi ndugu zake huyu wanamwita nani huyo mwanamke???
Mungu utusamehe Tanzania yetu
 
Umeandika hii mambo harakaharaka sana, inahitaji masahihisho, naona kuna KISWANGLISH!
Lakini mume wa dadako ni shemeji TU.
Kwa hao waliooana hivyo, ni washenzi, na KISWAHILI hakina jina lao!
Shame on them!
 
Jamani wakipendana waacheni, roho zao zimependa. Dunia kwisha ije kuwa leo? si ingeishia kwa albino wanaokufa?
hawa wanaostarehe huku wanaishi , i have no problem let them enjoy life.
 
pAKA J
UNGELIA NDUGU YANGU HUYU DADA ALIVYOKUWA ANAJIHESHIMU HATA KUTONGOZA UNAITAJI ROHO MTAKATIFU AKUONGEZE LAIITI UNGALIJUA WANAKUJA KUWA HIVI UNAWARUKIA TU NA KUANZA

SHAME SHAME LIGHTNESS

HUZUNI ONA JINA LAKE NA MAMBO TOFAUTI;YAANI KAAMUA TU ALIJISIKIA NKAMWAMBIA NTAKUTAFUTA BAADAE NIKAJIULIZA NTAAFUTA MAPEPO ILI IWEJE
 

Pengine ana yaliyomsibu anahitaji msaada, kwahiyo usimhukumu mzee, mtafute uongee naye unaweza ukawa msaada kwake!
 
Hadi afikie hapo atakuwa kakutana na maswahibu makubwa. Kama unamfahamu vizuri tafadhali sana mfuate muongee uwe kimbilio lake na akuamini kuwa anaweza kupata relief akikueleza matatizo yake. Do that for heaven sake you might be her saviour.
 
Nilikuwa sijaelewa kumbe mke wa dadako mwanzoni nilifikiri mume wa dadako. Haya mambo, me simwiti jina lolote manake hu utamaduni hatuna labda kwa kuwa umeingia tutatafuta jina but all the same mungu apishe mbali hili balaa!
 
jehova hayuko mbali kulichukua kanisani,unapoyaona haya hebu jisafishe ili mwana wa adamu akitokea ghafla usije ukajikuta unaishia sehemu moja na hawa watu wa sodoma!haya yalishatabiriwa jamani na wala hakuna atakayeweza kuyazuia kwani maandiko yanatimia!
tusafishe njia zetu jamani dalili karibu zote zilizotabiriwa zinaonekana sasa!inasikitisha kuona ndugu zetu wakitekwa na shetani maana lucifer anajitahidi kuzomba wafuasi wengi wa mwisho mwisho!
 
alikuwa hatongozeki sababu yaelekea hana feelings na wanaume ndo maana sasa anasagwa na mwanamke mwenzie. tusali sana na kutubu dhambi zetu.
 
Umeandika hii mambo harakaharaka sana, inahitaji masahihisho, naona kuna KISWANGLISH!
Lakini mume wa dadako ni shemeji TU.
Kwa hao waliooana hivyo, ni washenzi, na KISWAHILI hakina jina lao!
Shame on them!

Nadhani tokana na jibu lako PJ anatakiwa kuitwa MSHENZI
 
"pAKA J UNGELIA NDUGU YANGU HUYU DADA ALIVYOKUWA ANAJIHESHIMU HATA KUTONGOZA UNAITAJI ROHO MTAKATIFU AKUONGEZE LAIITI UNGALIJUA WANAKUJA KUWA HIVI UNAWARUKIA TU NA KUANZA SHAME SHAME LIGHTNESS HUZUNI ONA JINA LAKE NA MAMBO TOFAUTI;YAANI KAAMUA TU ALIJISIKIA NKAMWAMBIA NTAKUTAFUTA BAADAE NIKAJ
PHP:
IULIZA NTAAFUTA MAPEPO ILI IWEJE]"

Labda hiyo ndo sababu iliyomfanya aamue kuishi na mmwnamke mwenziwe. Kama ninyi mkimwona mnamwogopa kumbe anatamani sana kutongozwa, ilibidi atongoze yeye.
 
Simple question, utamwita "Msagaji"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…