Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

Ma black alie waroga kafa kuna lile jamaa pdiddy kale kazungu kalimlia mingo miaka kibao jamaa konki halitangazi ndoa kaliamua kasepe kameolewa na gym trainer ukwasi umebaki kwa jamaa, swafi kabisa
 
Umasikini ni kitu Kibaya sana...yaani unamtukana mtu ambae hata hakujui wala humjui zaidi ya kumuona kwenye picha😁😁
 
Umasikini ni kitu Kibaya sana...yaani unamtukana mtu ambae hata hakujui wala humjui zaidi ya kumuona kwenye picha😁😁
Acha bangi wewe

Huyu ni public figure,anafanya vitu publicly na kazi zake ni public..

Ana mashabiki kama wewe ulivyo shabiki wa Messi au Ronaldo,na Messi au Ronaldo siku wakisababisha mkafungwa unamchukia for that,the same way mimi kwa Dre!

hata hujui maana ya celebrity mwenye washabiki,na sidhani unajua maana public celebrity na mashabiki,huelewi!

Mpumbavu sana,kumchukia ni kosa kwa mtazamo wako,ila kumpenda ni sahihi?

Fvck outta here!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…