Mke wa Dr Dre, Nicole Young aomba talaka

No, wapo wengi sana wanaoa weusi wenzao, pia wapo wazungu wanaoa weusi pia, sijui nongwa ya Nini..
 
HATA HUYO BWANA ANGEKUWA KABWELA NA MWANAMKE ANGEKUWA MWENYE MALI PIA ZINGEGAWANYWA SAWA KWA SAWA
 
Hizi mbweha Dr Umar Johnson anazionya kutwa kuhusu kukimbilia kuoa hivi vibibi vya kizungu lakini hazielewi.

Hela haina maana kwao bila white woman,hovyo kabisa.
 
Kar

Kardashians wao wako na swagger za kimkakati...mwangalie mama yao...dude it's deep down their chromosomal nuclear strands[emoji23][emoji23]
Shit mama Yao Ni mzuri kuliko wanae Yuko sexy sana ila amekaa kutafuta pesa tu yaani anaspidi ya kuzisaka uzeeni ana wa exploit wanae kichizi[emoji1787][emoji1787]

Halafu analiwa na mchizi mdogo tu .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaah Kuna life kidume ukiwa nalo hupaswi kuoa wewe n kuzaa na kula Bata Kama Didy, 50 cent au Floyd Maywether

Si unakumbuka eboue alichofanywa na Mke wake mpaka kuanza kulala mitaani.
Ni fundisho Tosha mi Hadi leo Niko 30's lakini sijiona Kama naweza Oa yaani Sina Imani na mambo ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIME IS MONEY!

ULE MUDA ALIOKUWA ANAUTUMIA KUMUHUDUMIA NA KUITUNZA FAMILIA THAMANI YAKE NI SAWA NA NUSU YA MALI ALIZOCHUMA MWANAUME AKIWA KAZINI!

JIULIZE
WEWE UNGEKUBALI KUONA DADA YAKO AU MTOTO WAKO WA KIKE AKITOKA MIKONO MITUPU KWA MWANAUME ALIMKUTA ANALALA CHINI!?

MAISHA BILA UNAFKI HAYAENDI!
 
Mbona hata kwa wanawake hii hutokea? Unafahamu Adele? Ndoa yake ilivunjika na akagawa Mali nusu kwa mumewe
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ni fundisho Tosha mi Hadi leo Niko 30's lakini sijiona Kama naweza Oa yaani Sina Imani na mambo ya ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kimaisha ukiwa umeoa kuliko ukiwa bachela ikiwa utampata anayejua maana ya ndoa na nafasi yake kama mwanamke ndani ya nyumba!

Waliobahatika kuoa hao ni mashahidi wa hili!
 
Mkuu, Dre aliwahi kulala chini kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…