mmiliki wa BeatsByDre, bwana Dr.Dre
basi mwana mama Nicole Young atapata nusu ya utajiri wa Dr.Dre
True ila la muhimu uwe blessed kweliKuna nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kimaisha ukiwa umeoa kuliko ukiwa bachela ikiwa utampata anayejua maana ya ndoa na nafasi yake kama mwanamke ndani ya nyumba!
Waliobahatika kuoa hao ni mashahidi wa hili!
Hakuna kiasi cha kufidia amani uliyoipoteza,zaidi ya kuitafuta ijayoNa hiyo hasara ya kukosa amani miaka 50 unaifidia namna gani?
Ha ha ha dude nauonea wivu muda wako mwingi wa kutafuta bucks ukiwa bachelor kuliko sisi... hopefully in the near future you have to be atop of all of us,your age mateππ
Haya sasa...wenyewe haoooo....wabeijing na feminism yao kwi kwi kwi jaman tunawaambia yatuumayo tu ain't misogynists...πππ[emoji122][emoji122][emoji122]
Amani hiyo ni ya nini bita au corona..... Wanawake ni wabinafsi sana..... Na mnatamaa.... Mtu anakupa mali yake na pesa zake utumie kama zako na unajua source ya kutafuta ni yeye why unaleta usenge.....Kama hupati amani hata iwe miaka 50, ni kuachana tu
Lol hata kikiwa kibabu?!!Hawana uzalendo basi,au kuna kinachowavutia kutoka kwa wazungu... ila ata mimi nikipata hela naolewa na mzungu auntπ
Aseme tu ameingia tamaa wenzake wamemshawishi azingue ili jamaa amegwe utajiri na mahakama wagawane mali.Mke anadai ni due to irreconcilable differences
Another alpha fella in da House!!Amani hiyo ni ya nini bita au corona..... Wanawake ni wabinafsi sana..... Na mnatamaa.... Mtu anakupa mali yake na pesa zake utumie kama zako na unajua source ya kutafuta ni yeye why unaleta usenge.....
Kama unajifanya unaondoka sababu ya maumivu ya hisia nenda basi kaanze maisha yako, unataka utajiri wake ili iwaje.... Usenge tu....
Nilifurahi Michael Jordan mwanamke wake alileta usenge kama huu jamaa ile anapiga chini tu alamba dili kali akapata pesa mara tatu ya zile alizochomolewa na settlement za mahakama.....
Me labda niwe hivi hivi wa kupata vi elfu 50,000 vya kubadilisha mboga, aisee niwe milionea aaaah wanawake ninawapa mimba tu mtoto akifika miaka mitatu nachukua mtoto wangu napita hivi naishi nao fresh tu hadi wanakuwa wakubwa.... Maana wanawake mna mambo ya kisenge sana..... Hela hamtafuti, hata mkitafuta hamna jeuri ya kutumia kwa mwanaume kama vile tunavyoshare nanyi, mnapenda kupewa attention za kifala utadhani ninyi ni watoto wadogo wakati majitu mazima na mna akili timamu.
Mtu unaacha kufocus na majukumu yako ya ndoa unaanza mfuatailia mwanaume katika mambo yasiyokuhusu mara utamani mali zake kisa roho ya ubinafsi imekuingia unataka umtoe roho ubaki na mali zake... Usenge tu..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
UBEPARI+soko huria na mamboyeeAseme tu ameingia tamaa wenzake wamemshawishi azingue ili jamaa amegwe utajiri na mahakama wagawane mali.
Huko ulaya mataasisi ya mawakili wa ndoa na mahakama zinamake profit sana kwenye migogoro ya ndoa kama hii. Sometimes haina hata ulazima wa kuachana ila jamaa watapush watu waachane ili wao wapige hela......
Namkubali sana Sean Combs (Puff daddy) jamaa amekomaa hadi sasa ana 50 years hawa malaya wamemuwinda wanaambulia mimba tu na anatemana nao watoto wakiwa wakubwa.... Watoto wake ni wakubwa balaa na anakaa nao mwenyewe.Labda ndio maana Sean Combs hataki mahusiano ya ndoa.
Yeye ni mzee wa chapa ilale
Mzazi anatema kimkeracho.....Amani hiyo ni ya nini bita au corona..... Wanawake ni wabinafsi sana..... Na mnatamaa.... Mtu anakupa mali yake na pesa zake utumie kama zako na unajua source ya kutafuta ni yeye why unaleta usenge.....
Kama unajifanya unaondoka sababu ya maumivu ya hisia nenda basi kaanze maisha yako, unataka utajiri wake ili iwaje.... Usenge tu....
Nilifurahi Michael Jordan mwanamke wake alileta usenge kama huu jamaa ile anapiga chini tu alamba dili kali akapata pesa mara tatu ya zile alizochomolewa na settlement za mahakama.....
Me labda niwe hivi hivi wa kupata vi elfu 50,000 vya kubadilisha mboga, aisee niwe milionea aaaah wanawake ninawapa mimba tu mtoto akifika miaka mitatu nachukua mtoto wangu napita hivi naishi nao fresh tu hadi wanakuwa wakubwa.... Maana wanawake mna mambo ya kisenge sana..... Hela hamtafuti, hata mkitafuta hamna jeuri ya kutumia kwa mwanaume kama vile tunavyoshare nanyi, mnapenda kupewa attention za kifala utadhani ninyi ni watoto wadogo wakati majitu mazima na mna akili timamu.
Mtu unaacha kufocus na majukumu yako ya ndoa unaanza mfuatailia mwanaume katika mambo yasiyokuhusu mara utamani mali zake kisa roho ya ubinafsi imekuingia unataka umtoe roho ubaki na mali zake... Usenge tu..... [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Don't see Cariha here,don't see Numbisa,where are they homie?!!!πππNamkubali sana Sean Combs (Puff daddy) jamaa amekomaa hadi sasa ana 50 years hawa malaya wamemuwinda wanaambulia mimba tu na anatemana nao watoto wakiwa wakubwa.... Watoto wake ni wakubwa balaa na anakaa nao mwenyewe.
Nikasema safi sana..... Kwa umri aliopo hana haja ya ndoa..... Hawa chuma ulete huwa wanataka kutuaminisha kuwa bila wao sisi wanaume hatuwezi toboa kumbe kinyume chake wanasafiria nyota zetu kujinufaisha....kutuzeesha tu na mabili ya kipuuzi mara wigi, mara nywele, mara mapochi, mara simu mpya mara mitoko all that for what....?!
Pumbavu sana... Piga chini huko....
Hakuna kiasi cha kufidia amani uliyoipoteza,zaidi ya kuitafuta ijayo
Yaliyopita si ndwele....
Hivi mkiachana hela inayogawanywa ni ya mwanaume ya mwanamke haiguswi?Sio ajabu puff "didy" Hana habari kabisa na kuoa
Another looser will be Kanye west i see it that kadashians wanamvutia kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye pays ndefu ndio anagawa mshiko so hapo kanye yake itapasulia hio ya kimu itabaki kwake na Kanye ataendela kutoa child support in terms of money Hadi atakapokufa[emoji3]Hivi mkiachana hela inayogawanywa ni ya mwanaume ya mwanamke haiguswi?
Manake mpaka sasa Kim utajiri wake ni $900m na Kanye West ni $1.3bil.
.Dr. Dre sio mmiliki wa Beats by Dre.
Na pia mtalikiwa hapati nusu ya utajiri wa mwenzie. Hakuna kitu kama hicho. Mkewe kaomba hela ya kujikimu mke, "spousal support," sio kugawana utajiri.
Mtaliki wa Jeff Bezzos alipata $38 bilion kama hisa za Amazon, Jeff akabaki na $118 bilioni, na bado ndio tajiri mkubwa duniani. Vinginevyo yeye na mkewe mtalikiwa wangekuwa wana share hiyo nafasi ya kwanza.
Unapata wapi habari zako?
Sio wanawake wote wanategemea kupewa wigi, sijui simu na mwanaume wanajiweza tu vizuri, ukiona hivo ujue wamechoka hela haiwezi kukupa furaha kamwe hapa duniani, eti waja wasema raha jipe mwenyewe.Namkubali sana Sean Combs (Puff daddy) jamaa amekomaa hadi sasa ana 50 years hawa malaya wamemuwinda wanaambulia mimba tu na anatemana nao watoto wakiwa wakubwa.... Watoto wake ni wakubwa balaa na anakaa nao mwenyewe.
Nikasema safi sana..... Kwa umri aliopo hana haja ya ndoa..... Hawa chuma ulete huwa wanataka kutuaminisha kuwa bila wao sisi wanaume hatuwezi toboa kumbe kinyume chake wanasafiria nyota zetu kujinufaisha....kutuzeesha tu na mabili ya kipuuzi mara wigi, mara nywele, mara mapochi, mara simu mpya mara mitoko all that for what....?!
Pumbavu sana... Piga chini huko....
Sio kuachana tu..eti mnagawana almost 50% each. No wonder huko wengi ni senior bachelors tuImagine mnaishi miaka 24 halafu mnaachana