Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Naelekea kwenye umilionea wa madafu[emoji3][emoji123]Haaaaaahaaaaa una hela nini ndugu!
Huyo kaishi Sana unyamwezini😆😆Haaaaaahaaaaa una hela nini ndugu!
Mhh hapa bongo tu huoni watu wanataka kuoa mwanamke mweupe/maji ya kunde lakini wao weusiSimpsons fvcked up,Tiger Woods fvcked up,Kobe Bryant dead,Ice T fvcked up,Dre shitting on himself now,etc
Hua sielewi inakuaje unashindwa kuoa a human being who looks like you,I really dont get it!
Km ndvyo basi let's put blame on those who are being sc...ed km mnyama Dre...kwanin hawaingii kwnye prenup b4 marital shackles then they let their niggers feeling sorry for them khaaaaWanadai haikuwepo
Kuna watu wanayo
Mfano trump ana prenup kwenye ndoa yake na Melania
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu mmoja waounawafahamu watu wangapi ambao wana 40 na bado hawajaoa?
Ha ha ha wkt mwngne haijakaa sna kibaguzi ila ni preferences na ulpokulia....i remember myself nlkulia kitaa flan hv ambacho majiran wetu weng walkuwa wahindi na waarabu then nlpoanza kutaka ku date AKILI yngu ilikuwa inaona wanawake Bora ni wale...so image ile smtmz inasumbua flan hvMhh hapa bongo tu huoni watu wanataka kuoa mwanamke mweupe/maji ya kunde lakini wao weusi
Ubaguzi hautakaa uishe
Uyo mwanamke wala sio golddigger..u cant pretend for 24 years...huwezi jua wana shida gani humo ndani ameona isiwe kesiKm ndvyo basi let's put blame on those who are being sc...ed km mnyama Dre...kwanin hawaingii kwnye prenup b4 marital shackles then they let their niggers feeling sorry for them khaaaa
Basi ndugu yangu usioe hawa kima chuma ulete kishenzi!
Aaaaa wapi bhana weeee nyie wapigaji vibaya mnoUyo mwanamke wala sio golddigger..u cant pretend for 24 years...huwezi jua wana shida gani humo ndani ameona isiwe kesi
Wanawake huwa tunavumilia sana
Vitu ambavyo wanaume hawafikirii hata kuvumilia
Consultant umenifurahisha sana kuwa "No wonder huko wengi ni senior bachelors".Sio kuachana tu..eti mnagawana almost 50% each. No wonder huko wengi ni senior bachelors tu
Ha ha ha kweli huwez jua hwenda hta mnyama Dre akawa homo n bisexual mana huko Kuna tuhuma nyng ktka music industry kuwa fagg..s LGBGT wa kumwaga,Cent ashawah mtuhumu Diddy...Uyo mwanamke wala sio golddigger..u cant pretend for 24 years...huwezi jua wana shida gani humo ndani ameona isiwe kesi
Wanawake huwa tunavumilia sana
Vitu ambavyo wanaume hawafikirii hata kuvumilia
Mbona sijaona kitu... Haitokei link haionyeshi kitusoma hapohttps://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1495806/
Hizi sheria ni adui wa wanaume, pasu kwa pasu ni too much. Wajameni tuwe makini na mambo ya kuchanya pesa na mahusiano siku zote mwisho wake ni mbaya.
Basi sawaAaaaa wapi bhana weeee nyie wapigaji vibaya mno
Ni kwa sababu anakua anakusupport.,Kwan issue ni kuchanga pesa mzee
Mwanamke ata km hajachangiaa sheria inampendelea
Kibaya huwa wanajihalalishia kuwa wanawake wenyewe ndiyo huwa wana uvumilivu pekee kma vile hiyo miaka Wanaume huwa hawakosewi na Wanawake na kuwavumilia shida zaoAaaaa wapi bhana weeee nyie wapigaji vibaya mno
walah wengi wetu tungebaki bachelor,