Mke wa Frank Mbise alieleza kuwa mume wake alikuwa tegemeo kubwa kwa familia yao, na kutekwa kwake kumeacha pengo kubwa, hasa kwa mtoto wao mdogo.
Kwa masikitiko makubwa, alisisitiza kuwa mume wake alikuwa mwema na alikuwa anatimiza majukumu yake kwa familia, hivyo kumkosa kwa muda mrefu kumeathiri maisha yao kwa kiasi kikubwa.
Amemuomba Rais Samia afanye kila juhudi kuhakikisha Frank Mbise anarudi salama uraiani ili familia yao iweze kuendelea na maisha yao ya kawaida.
Akae chini atulie, avumilie mapito haya.
Yeye siyo mtu wa kwanza na Wala siyo mtu wa mwisho wa kupitishwa kwenye gharika Kama hii. Hizi ni gharama zitokanazo na kuruhusu uwepo wa tawala za kiimla katika nchi.

Na ndiye aliyeidhinisha na kuthibitisha Sheria ya kuwalinda na kuwatetea Watekaji na Wauaji wasiweze kuwajibishwa kwa namna yoyote ile, Wala wasishitakiwe mahali popote pale mara baada ya kutekeleza vitendo vyao viovu vya utekaji, utesaji na mauaji.
Ewe Mwenyezi Mungu muumba wa mbingu na ardhi,tunakuomba kama ulivyotuamulia ugomvi wa awamu ya tano utuamulie na huu wa awamu hii kwani kikombe cha maovu yao kimekwisha jaa. Kama ulivyofanya tarehe 17 March 2021 ufanye tena ili utufute machozi ya madhalimu hawa. Amen !!!