Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Hmmmm...wee Cuppy...are you sure about that?
eeh since when cuppilicious lakini eeh!....anyways kwani ni siri mwafrika wa Kike kuwa siyo mke wa Mbowe?.....mwambie arudi athibitishe mwenyewe hapa!....
Cuppilicious unataka kuleta kizaazaa humu. Nakumbuka Mwafrika wa Kike before I met you Cuppy, alitaka kuni hook up na kid sister wake. Na mimi ningekuwa Chadema...Lol
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.
Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?
Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
Asante sana na pia anatakiwa kujua kuwa hizo mambo ni za kifamilia hatakiwi kuingilia,kwani ustaarabu huu alishawahi kuusikia wapi?au public issues anazielewaje?umeishasema ni mke wa freeman mbowe sasa shida gani inayokusumbuwa. kumbuka sio mke wa public kama ulivyolitumia neno hilo
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.
Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?
Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
Mume wa sophia Simba yuko wapi?

Julius you have hit the nail on the head!! GT tuletee mke wa Dau Janvini ili tujue unavyomheshimu mfadhili wako!!Na mke wa Dk. Dau
Mimi sijali kuhus mke wa Mbowe (Lilian Mtei). Hata akiamua kuhama na nchi ili pia asionekane sioni tatizo.
Tatizo ninaloliona ni la kwa nini Mbowe hajitokezi kujibu mengi yanayoisulubu CHADEMA??
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?
Mbowe kama anaogopa waandishi leo hii kwa mambo madogo madogo kiasi hiki, je anategemea kumuongoza nani?
Inakuwaje watumishi na wanachama maarufu/muhimu (Kafulila & Danda Juju) wanahama chama lakini mwenyekiti hajitokezi kutoa angalau tamko au kujibu maswali ya waandishi wa habari?
hivi na mzee Masudi Kaombwe akihama CCM JK anatakiwa aongee na waandishi wa habari?? au mkuu kikipotea hata kijiko huwa unaita familia yako kikao cha dharura?? Watz wengi mawazo mgando sana.........
naona hujasoma mgawanyo wa madaraka, katibu wa chama anatosha kujibu shutuma ndoogo kama hizo za akina kafulila. ni watu wadogo sana! mwenyekiti ana issue kubwa za kitaifa. tafadhari rejea mgawanyo wa madaraka uelimike!!!!well said..huyu inaonekana hata mboga ikiwa imewekwa chumvi nyingi nyumbani kwake huwa anaita kikao cha familia...