Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Tutafute pesa aisee dunia haina huruma kwa mtu masikini hii yaani daa na tuangalie familia tunazo oa aisee wewe unaenda kuoa familia ya mwanamke ambaye kwao ni mkombozi wa familia kwamba siku wakiishiwa chakula au ada simu moja kwako unafikiri utatoboa hapo? Familia ya mkeo kutwa wakipishana kwenu mara mjomba,mara mtoto wa shangazi,mara mtoto wa dada yake Aisee hapo ndugu zangu hamna kutoboa hapo aisee
Oneni mwanaume mwenzetu amezawadiwa msikiti na private jet na mke wake siku ya kuzaliwa kwake sisi siku ya kuzaliwa tuna ambulia maneno ya shombo,matusi,kejeli,masimango, aisee sio poa kabisa.
Oneni mwanaume mwenzetu amezawadiwa msikiti na private jet na mke wake siku ya kuzaliwa kwake sisi siku ya kuzaliwa tuna ambulia maneno ya shombo,matusi,kejeli,masimango, aisee sio poa kabisa.