yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Kabisa ...nashangaa watu wanaosema eti ndoa sio sex. Wapuuzi kweli kweli.Kwa wanaume walioa kanuni iko hivi:
Kama mke hakupi sex ya kuridhisha, kusex mpaka alazimishwe.
Asubuhi anakuchungulia tu haamki mpaka ahakikishe tayari umevaa suruali unataka kuondoka ndo anakurupuka kitandani.
Huyo wala usihangaike we muache apauke tu, hafai kununuliwa hata chupi, muache kiatu akitembelee mpaka kitoboke ndo ufikirie kumnunulia kingine.
Huyo hajui kujigijigi ndo msingi wa ndoa.
Sex ni sehemu tu ya ndoa lakini sio ndoa yenyewe kwa sababu sio lazima uwe na ndoa ili ndo ufanye ngono.Kabisa ...nashangaa watu wanaosema eti ndoa sio sex. Wapuuzi kweli kweli.
Relationships are about sex...goals achie mo salah
Akili za kimasikini...mkiwa bize kujenga uchumi sex sio kipaumbele,ni pale unapokua na hisia tuu,sio ulazimishe hisiaKabisa ...nashangaa watu wanaosema eti ndoa sio sex. Wapuuzi kweli kweli.
Relationships are about sex...goals achie mo salah
Ebu kwenda zako huku. Eti akili za kimaskini 🤣🤣🤣Akili za kimasikini...mkiwa bize kujenga uchumi sex sio kipaumbele,ni pale unapokua na hisia tuu,sio ulazimishe hisia
Awatafute tigo wanavyo vya bureMkuu umekosa cha Asubuhi??
Msuse tu wahuni wakung'arishieKwa wanaume walioa kanuni iko hivi:
Kama mke hakupi sex ya kuridhisha, kusex mpaka alazimishwe.
Asubuhi anakuchungulia tu haamki mpaka ahakikishe tayari umevaa suruali unataka kuondoka ndo anakurupuka kitandani.
Huyo wala usihangaike we muache apauke tu, hafai kununuliwa hata chupi, muache kiatu akitembelee mpaka kitoboke ndo ufikirie kumnunulia kingine.
Huyo hajui kujigijigi ndo msingi wa ndoa.
Ah wee sex ndio ndoa yenyewe bro.Sex ni sehemu tu ya ndoa lakini sio ndoa yenyewe kwa sababu sio lazima uwe na ndoa ili ndo ufanye ngono.
Ndoa ni muunganiko wa mambo mengi ikiwemo ngono, majukumu, uwajibikaji ,kuheshimiana ,uaminifu na akili, kati ya hivyo vitu kikikosekana kitu kimoja tu aidha hiyo ndoa itakufa au itakuwa na migogoro isiyo isha.
HahahaEbu kwenda zako huku. Eti akili za kimaskini 🤣🤣🤣
Haya nyie wenye akili za kitajiri mpaka leo mnajengewa vyoo na nchi ambazo wanafanya ngono zembe.
Wee tulizana bro enjoy sex akili achia wazungu
Waafrica bwana...wanajidai wana akiliiii wakati watu wentewe wanawaza na mikundu yao.Hahaha
Umenena vyema na kwa wanawake wa sikuhizi mke kumuandalia mume breakfast ni kitendawili, wanaume wengi wanateseka sana sema hawasemi,Kwa wanaume walioa kanuni iko hivi: