Mke wa Hussein Machozi aibuka na kusema haya, baada ya Hussein Machozi kusema hakuwahi kuoa Mombasa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Yule dada aliyedai kufunga ndoa na Hussein Machozi ameibuka na kusema haya maneno kwa uchungu baada ya Hussein Machozi kudai anatafuta kick na si kweli kwamba walifungua ndoa :

"Hey jameni hebu msinidhalilishe mimi ndie mke wa Hussein nasidhani nikwanini niseme nilifunga ndoa ya kiislam kama niuongo mimi namuogopa sana Mungu. Ndoa nikitu ambacho nibaraka.

mume wangu amenidhalilisha kisa chakufanya hivyo sikijui. Ila mimi niko tayari kama akisema aniacha i will say fine cause haina haja kua na mtu anaekukana ama anaekana ndoa.

Yamenisikithisha sana haya maneno na kwa ujumbe wenu yeye hakutoroka ndoa. Bali mimi ndie ninaeishi nje ya Africa sio yeye alirudi kwao tu baada ya muda mrefu kua Kenya mimi nilipomuacha huko ulizeni pande zote mbili kabla kuandika haya maneno ati mwanamke anatafuta kiki.

kiki gani nithafute africa? Nimwaka gani tulifunga ndoa kama ni kiki mbona sikuithafuta wakati huo? Muogope Mungu mume wangu.

Usikufuru ila kama ndoa inakushinda iepuke usiikane duniani utaikana , je mbele yaa Mungu pia waezaikana nakuniita mimi huyo mwanamke wakimombasa? Am sorry realy mimi sina shida yakukimbilia mtu.

Namshukuru Mungu Alhamdhulillah"

Kumbe Hussein machozi ndiye aliachwa akaona bora aseme hajaoa ila ukweli alioa, sema hasira za kibuti tu, wanawake wa Mombasa mi nawajua ukiishiwa pesa ujue na mapenzi yameisha, karibu tanzania machozi.

 
Hiyo picha ndio siku ya harusi au?
 
huyu mwandishi wa hii makala ana kithethe?
 
Ahahaha ila hussein anonekana mtoto mayaii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…