huo ni ukweli wenyewe,kutoka nje ya ndoa,hasa kwa mwanamke ujue ndani humo kuna matatizo,au mojawapo ni kuchokwa,ila watu wanaishi pamoja ili kufurahisha jamii.Ndio maana ndoa nyingi watu hawaachani ila kila mtu hutafuta wake wa pembeni.Kwa mwanamke inakuwa siri kubwa,wakiwa nje,hao hao ndio wanaokemea hawatoki nje,kumbe moyoni mwao wana siri zao