Mke wa jirani amenieleza mapungufu ya mumewe

Rafiki yangu wa miaka mingi mpaka kesho ananilaumu kwa kumtupa (simtembelei kabisa kwake) anaamini labda tofauti za kimaisha ndio sababu za umbali wetu.. ila ukweli mke wake ndio alinikimbiza (kila mara msg za kuomba msaada na kunisifia, mwanzo nilikuwa namtoa then mazoe yaka-graduate kuwa naitwa mume wangu???? Shemeji nimegeuka mume ghafla kisa 50k????) Nilikimbia mbaya... na siwezi kumweleza jamaa yangu ila wanawake wengine ni takataka aisee.
 
Waungwana hawaishi
 
Unataka usifiwe kuwa unapendwa na mke wa mtu.
 
Ni afadhali yeye amekwambia wew kuliko wew unaeyamwaga huku mtandaoni😏😏
 
Mwenyewe unajiona mjanja,hujui kuwa uko kwenye mtego na very soon usipoangalia utaingia kwenye 18 za huyo jamaa...
 
Boss hiyo ni slogan tu bt honestly ugumu tunauweka sisi wenyew binadam coz by nature binadam na wanyama we're the same thing icpokuwa binadam tumejipa u-special ambao matokeo yake unafanya vitu vingi vinakuwa complicated na mwisho vinatushinda, For instance angalia wanyama wanavyo ishi especially kwenye sex, they mate for purpose nayo ni kuzaliana tu bt binadam anajiona ana akili sana ameamua kuongeza manjonjo mengi sana kwenye hiyo hiyo sex ambayo imetoka kwenye kuzaliana mpaka kwenye kuridhishana... So kupitia kuridhishana sasa ndo matatizo kibao yanatokea ikiwemo nguvu za kiume mara cjui vibamia yaani shida tupu na mwisho wake tunaona wanawake hawafai mara cjui tuishi nao kwa akili and honestly mambo ni mengi sana... At last we can't compete with nature na ukienda against it utateseka sana
 
hata mapungufu yako kuna mtu ameelezwa hujasikia tu bado
 
Mkuu umrongea pointi sana
 
Mwanaume ni mchunga kwa wanawake,,,,
Mwanaume ana haki ya kushika simu ya mkewe,
Mm sioni shida kwa hilo
 
Mtoa mada na huyo mke wa mtu wote hamjielewi. Kwanza unaruhusu vipi mke wa mtu kukupa stori kama hizo?

Anyway kwanza mie ni mzoefu sana wa wanawake na kwa ufupi huyo dada anakutaka na ndio maana anadanganya kuwa mumewe ana matatizo hivyo anataka sympath yako ili akuteke kirahisi. Na wewe ulivyo mdogo wa kufikiri umemuamini huyo dada. Wanawake utongozaji wao ni wa mbinu sana ambapo kama akili zako ni chache utaamini anachokisema.

Mie niliwahi kukutana na situation kama yako dada mmoja mtaalam wa IT ilitokea tukasafiri pamoja kikazi na akawa ananieleza madhaifu ya mumewe kuwa jogoo hapandi mtungi. Nilielewa anachotaka mie nikaenda direct kuwa unataka nikugonge akaanza ooh sina maana hiyo nikamwambia kama unataka nikugonge nieleze straight sio unazunguka zunguka. Usiku tumekaa sehemu tunakula tulifikia hoteli tofauti kulikuwa kumejaa so nikaenda hoteli yao kulikuwa na restaurant. Wakati namuaga naondoka naona msg imeingia nakuja kulala kwako
 
Asipochukua huu ushauri basi huyo ni sikio la kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…