Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
Mke anajua kuwa kwa wale ulio wakatalia unamwambia, Je wale mliokubaliana, mbona huwa humwambii???? Hata yeye atakuwa anakwambia wanaume wanao msumbua hasa wale tu aliowakatalia, mbona wale aliowakubalia hakwambii????????........ Je nifanyeje nimwambie mke wangu?
Mke anajua kuwa kwa wale ulio wakatalia unamwambia, Je wale mliokubaliana, mbona huwa humwambii???? Hata yeye atakuwa anakwambia wanaume wanao msumbua hasa wale tu aliowakatalia, mbona wale aliowakubalia hakwambii????????
Mwambie mkeo akusindikize ukitoka getini Kama mara 3 ivi na mabusu Kama njiwa akiona hayo hatorudia tena,na wewe hujui kusema ahsante na usipokee?
sjui kwnn bahati kama hizi huwa hazitokei..! ingekua mm hata kama angekua halipi aisee angelipia tu gharama za 'usumbufu na uendeshaji'
Mwezi wa toba huu! Unafunga ama unashinda na njaa wewe?
toba ya kitu gani? sio kosa langu kuzaliwa mwanaume..Mwezi wa toba huu! Unafunga ama unashinda na njaa wewe?
Mwambie mkeo akusindikize ukitoka getini Kama mara 3 ivi na mabusu Kama njiwa akiona hayo hatorudia tena,na wewe hujui kusema ahsante na usipokee?