toba ya kitu gani? sio kosa langu kuzaliwa mwanaume..
Zamani zetu ningeshauri wala usimwambie mkeo labda ukaombe ushauri kwa mama mzazi......
Sina hakika kama vijana wa siku hiz bado mnawatumia vizuri wazazi wenu!!
Babu DC!!
Huwezi jua, pengine anafuturu.
Don't shoot.I'm just being ignrant for a minute.
Hahaha! Akamsemelezee kwa mamake?
Shkamoo babu DC, lol!
Hujambo King'asti?
Sasa tusemeje sie ambao tumepitwa na wakati??
Enzi zetu tulifundishwa kila kitu ili kitusaidie kuhandle mambo mbali mbali tunayakutana nayo kila siku katika maisha yetu bila kujali ukubwa/uzito wake....!!
Kinachonishangaza ni kuona kwamba hawa vijana wa siku hizi ni kama vile wameachwa wakacharure charure wenyewe kama kuku wa kienyeji....Watapona kweli??
Babu DC!!
Mie sina jambo babu.
Sasa wazazi wao wenyewe wanacharura, vijana wafanyeje? Manake kama mamake alimpata akiwa form two, hata ushauri sijui anapata wapi. Hivi wale wadogo zangu ushawapeleka mkoleni? Usisahau FGM haikubaliki, mafunzo bila wembe babu
ngoja waje wenye busara
mie hapa naona wote wawili mmevuta mneli na hamjui mwendako.
Wee mzawadie matoke.
Nimueleweje huyu mke wa jirani yangu. Mimi nimeoa na pia familia zetu ziko karibu sana ila simuelewi jirani yangu. Siku hizi anavizia nikiwa natoka asubuhi akisikia gari anatoka getini na kuniletea either matunda au chochote kile. Wiki end hii kaniletea bukta eti anasema ya kulalia. Je nifanyeje nimwambie mke wangu?
Nimueleweje huyu mke wa jirani yangu. Mimi nimeoa na pia familia zetu ziko karibu sana ila simuelewi jirani yangu. Siku hizi anavizia nikiwa natoka asubuhi akisikia gari anatoka getini na kuniletea either matunda au chochote kile. Wiki end hii kaniletea bukta eti anasema ya kulalia. Je nifanyeje nimwambie mke wangu?
We unapewa bukta na unakubali!!?? Yaani wanawake wa siku hizi hivi tatizo ni nini? Kuna uhaba wa wanaume au?
Mchape nao, tena ka mm namalizia humo mumo ndan ili apate na mimba kabsaaa.
Kwa kauli huenda jamaa akajitosa, mhh!kuna taarifa anajaribu kukupa mkuu, msome vizuri tu... anajaribu kukufikishia ujumbe kwamba mkeo anatembea na mumewe na kama vipi na nyinyi mlipize...
Kwa kauli huenda jamaa akajitosa, mhh!