Mke wa jirani yangu ananisumbua


Na huyu mkeo ugomvi wenu ulikwisha? Ref. Topic: 'Wanawake wana roho mbaya sana!'
 

Hahahaaaa....King'asti umenichekesha mbayaaaaaaaaaaaaaa.....Dah!
 

Akikuletea unavipokea au unavificha haraka kwenye gari ??? Hiyo bukta umeichukua? unaivaa? mkeo alivyoiona ulimwambia umeinunua au umepewa?
 
Ipo siku atawaona mme wake ndooo utajua kama mnacheza au mnataka kuchezeana
 
ngoja waje wenye busara

mie hapa naona wote wawili mmevuta mneli na hamjui mwendako.

Wee mzawadie matoke.

Ndio maana nasema wanaume wameisha wamebaki wavulana tu..
Mke wa mtu anakupa bukta..huwezi kuamua mwenyewe hadi uje JF?...lol!
 
Na wewe uepewa bukta unapokea? Halafu unajiuliza umwambie mkeo????? Loh.......

Na hiyo bukta alipoifikisha kwa mkewe alisema kapewa au kainunua? Wanawake tunafua vingi,mpaka vya kuhongwa!
 
Ha ha ha ha, wamekwisha kwa kweli
Yaani maswali mengine unashangaa anayeuliza ni mme wa mtu lol

Ndio maana nasema wanaume wameisha wamebaki wavulana tu..
Mke wa mtu anakupa bukta..huwezi kuamua mwenyewe hadi uje JF?...lol!
 
Ndio maana nasema wanaume wameisha wamebaki wavulana tu..
Mke wa mtu anakupa bukta..huwezi kuamua mwenyewe hadi uje JF?...lol!

Mara nyingine watu hutaka kuandika fantasies zao kama ukweli.

Kwa hiyo mwenye kumtamani mke wa jirani yake na kutaka siku moja azawadiwe bukta naye, ataandika kazawadiwa bukta na mke wa jirani yake.

Ilimradi kama hakijatokea katika ulimwengu wa kweli, kitatokea katika ulimwengu wa JF.

I am not saying this is the case here, but it is becoming increasingly common to warrant this caveat.
 
Napita tu kwani nakwazika. Hivi mtu anaweza tu kukuletea bukta bila sababu, ni lazima kuna hali fulani ya kutakana ya wawili iliyopelekea bukta au matunda kutolewa. Hebu tupe historia ya before kupewa bukta au before kutolewa matunda. Inawezekana mtoa mada alibeep akapigiwa, sasa analalamika.
Mkuu usinye mlangoni, patanuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…