mambo ya wabunge kuishi Dar, kusahau majimbo yao...na kwenda majimboni mwao kutafuta kula tuu, tena wengine hata uwaziri ambao ndio unakuwa kisingizio hawana...basi tu
Mie hata sielewi jambo moja! hivi huyu first lady ziara zake anazifanya kwa misingi gani? Pesa anapata wapi? Serikalini? na Kama anafanya kama first lady (kiserikali) taasisi yake inatambuliwa kikatiba na sheria nyingine za nchi kama ambavyo taasisi nyingine kama ya Raisi, Makamu wa Raisi, DPP etc? Kama anafanya kama taasisi binafsi nini vyanzo vya mapato yake? First lady anatambulika katika mfumo wa malipo kiserikali? Nna wasiwasi kukuwa kuna ka kiwira kingine kwa staili nyingine kinatengenezwa!
Mmmmh! Tumehamia huko tena, mie simo wakuu
Si hivyo mazee kuna njia mbadala wewe mwandikie tu invisible PM, hakuna anayetaka kudisclose ID yake....kama uko bongo unanunua sim card nakutuma vocha ukimaliza unaiweka kwenye dustibin...unakuwa umeisha changia JF badala ya kusema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
masanilo Njia hiyo inawezekana pia ...? mie naona uvivu kwenda Bank???answer me pls
Inawezekana my dearest, kwa ufafanuzi mwandikie invisible ama Maxence Melo, heading weka Mchango JF....watakujibu maana cha muhimu ni kuficha ID na kusaidia walau kidogo the guyz wapo kwa ajili yetu.
Bwana asifiwe sana
Huyu Ngasongwa alikuwa anawajibu majibu ya dharau sana wapiga kura wake 2005: Eti hata wasipomchagua angeshinda tu! Na kweli alishinda kwa mchezo mchafu! Pamoja na fedha atakazohonga, kama atahonga anyway, 2010 mambo magumu mno kwake kama atagombea! Washauri wake wamshauri akae pembeni tu asije akapata aibu ya mwaka!
hizo zama hazipo tena mkuu watu wataingia mtaani na kupigana...🙁tatizo huyu ni mwizi sana wa kura hata kama iweje lazima atatangazwa mshindi..it is true kuwa wananchi hawamtaki kabisaaaaaa
Ilikuwa raha tupu....kwa kweli...Huko Mtimbira Ngasongwa ahesabu maumivu 2010
Kuzomewa tu hakuna madhara. Kumbuka mwaka 2005 Mzindakaya alizomewa vibaya Rais alipokwenda kwao wakati wa kampeni. Matokeo yake ulipofika uchaguzi alishinda kwa kishindo.
Kishindo gani kaka/dada tk? unakumbuka alipata kura kiasi ngapi na alimzidi mpinzani wake kiasi gani??
Amani
Huyu Ngasongwa alikuwa anawajibu majibu ya dharau sana wapiga kura wake 2005: Eti hata wasipomchagua angeshinda tu! Na kweli alishinda kwa mchezo mchafu! Pamoja na fedha atakazohonga, kama atahonga anyway, 2010 mambo magumu mno kwake kama atagombea! Washauri wake wamshauri akae pembeni tu asije akapata aibu ya mwaka!
kazi kweli kweli, dalili ya mvua ni mawingu tayari kibano kimemgeukia atafute dili jingine