Ili uelewe vizuri chukulia kwamba huyo aliye mwoa dada yako(yaani shemeji yako) ana wake wawili
1. Dada yako
2. Mke wa pili ambaye sio dada yako.
Hivyo wote automatically watakuwa dada zako.
Sasa chukulia huyo aliyemwoa dada yako amefariki halafu dada yako akaolewa na kaka wa shemeji yako ambaye tayari alikuwa na mke wake unadhani hao wanawake wawili(dada yako+na mke wa shemeji yako) utawaitaje?