Mke wa kuoa anahitajika, nipo Dar es Salaam

Kwa Upambe tu sijambo😁!!
Bora dadaangu umekuwa mpambe kunawengine Wana kazi ya kupopoa nyuzi za wenzao za kutafuta wenza wakat wenyew wanalala kama mapanga wako single wengine wameachwa vibaya sana😂😂😂😂ni wivu tu
 
Bora dadaangu umekuwa mpambe kunawengine Wana kazi ya kupopoa nyuzi za wenzao za kutafuta wenza wakat wenyew wanalala kama mapanga wako single wengine wameachwa vibaya sana😂😂😂😂ni wivu tu
Watu wamevurugwa vibaya dadalakee! Wasikuumize Kichwa dear!!
 
Nitonye, Mchaga, Mhaya na Mzaramo kulikoni?? Upande wa imani nakushauri usiegemee upande mmoja, kila mtu abaki na imani yake . Hizi dini ni danganya toto tu, ni biashara.

Ni rahisi kwa jamii ya kikristo kuishi na muislamu... ila ni ngumu sana jamii ya kiislamu kuishi na mkristo.

Jamaa ni muislam. Maana yake ukoo wake na ndugu zake wengi ni waislamu wenzake.. sasa akiwaletea mke mkristo hao ndugu zake watamgasi sana huyo mwanamke. Hawachelewi kumsingizia anawalisha kitimoto
 
Yaani uko sahihi hta mm kwetu naona nitatengwa aisee siku nitayojaribu kumpeleka mkristo yaani suala la kwanza ni dini ndo muendelee na mengine
 
Yaani uko sahihi hta mm kwetu naona nitatengwa aisee siku nitayojaribu kumpeleka mkristo yaani suala la kwanza ni dini ndo muendelee na mengine

Katika ujanja ambao waislamu waliufanya.. ni quran kukataza wanawake wa kiislamu kuolewa na dini zingine.. ila quran imeruhusu wanaume wa kiislamu kuoa dini zingine.

Maana wanawake wangeruhusiwa kuolewa na dini zingine kama wanaume.

Wanaume wa kiiislamu wangekosa wake wa kuwaoa

Maana wanawake wa kisasa hawataki mambo ya uke wenza. Hivyo wanawake wa kiislamu Wangekimbilia kuolewa upande ambao hauna uke wenza kwa kisingizio cha dini inaruhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…