Shimbayaane
Member
- Dec 18, 2020
- 45
- 40
Wahaya mmekosea nini watu nyie ndugu zanguNatafuta msichana tukielewana na kuridhiana tunaoana, umri kuanzia miaka 22 - 30 dini mkristo mkatoliki ambaye hajazaa ila asiwe mhaya, elimu yoyote kama kaajiriwa au kajiajiri mwenyewe poa. Kama hana kazi yoyote anaweza kuwezeshwa akapata cha kufanya ili tuendane na uchumi wa kati[emoji1787][emoji1787]awe mwembamba wastani si kibonge...Mimi ni msukuma miaka 36 elimu yangu sekondari tu ila nimejiajiri kwenye industry ya Civil construction niko kanda ya ziwa ng'wanza karibuni pm