MKE WA KUVUTiA

MKE WA KUVUTiA

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Hivi wadau, kama utapata mke kama huyu, nadhani dunia itakuwa pepo... bonge3.gif
 
Ni mzuri kwa kuangalia na kumeza mate ila mkiingia kwenye mchezo hawezi kitu.
 
Mhhh wanajamii nitoeni ukungu, ndo mambo ya kichina ama? ............Nasikia Serikali haitawajibika kama ni mambo ya kichina.
Lol... shesheeeeeeeeeeeeee!
 
mijimama kama hii huwa inajuwa sana kudekeza midume, kama nikilipata, pillow zote natupa
 
Eebwana hilo semi trela si mchezo!!!! Kwanza hakikisha kitanda ni kigumu kama mizani ya TANROADS na usafiri lazima uwe 4WD, kama una COROLA usiwe unapita kwenye mashimo vinginevyo bodi litagusa chini.

Huyo kwenye game hawezi kusumbua kwa sababu staili yingi hawezi ni mnene kujipinda ni vigumu.
 
Ila hii mivibonge huwaga mitamu sana aisee...nyi acheni tu.....
 
Duu hhhh akikuletea picha passport size unaweza kudanganyika
 
Inategemea unafikiri game lenye staili moja linanoga? kumpinda huyo ni kama kucheza SUMO ile mieleka ya JAPAN.

Inaelekea wewe hujawahi kumega sampuli hiyo....yako very flexible hayo
 
Back
Top Bottom