google;Mke wa mgombea Ubunge jimbo la Vunjo,James Mbatia ,Bi Catherine Mbatia akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Chuo cha ualimu ,Marangu.Kuna maswali yaliulizwa humu kuhusu mume wa makamu wa raisi ni nani yakajibiwa vizuri na uzi watu waliujadili hadi basi picha zikaonyweshwa za mumewe vizuri na majibu murua yakatolewa.Na mimi naomba kuuliza mke wa Mbatia mwenyekiti wa NCCR na mbunge wa VUNJO MKEWE anaitwa nani tuwekewe na kapicha KA HUYO MKE WA KIONGOZI mkubwa wa UKAWA.
Kuna maswali yaliulizwa humu kuhusu mume wa makamu wa raisi ni nani yakajibiwa vizuri na uzi watu waliujadili hadi basi picha zikaonyweshwa za mumewe vizuri na majibu murua yakatolewa.Na mimi naomba kuuliza mke wa Mbatia mwenyekiti wa NCCR na mbunge wa VUNJO MKEWE anaitwa nani tuwekewe na kapicha KA HUYO MKE WA KIONGOZI mkubwa wa UKAWA.
Mkuu uchokozi huo kama si uchochezi.Kuna maswali yaliulizwa humu kuhusu mume wa makamu wa raisi ni nani yakajibiwa vizuri na uzi watu waliujadili hadi basi picha zikaonyweshwa za mumewe vizuri na majibu murua yakatolewa.Na mimi naomba kuuliza mke wa Mbatia mwenyekiti wa NCCR na mbunge wa VUNJO MKEWE anaitwa nani tuwekewe na kapicha KA HUYO MKE WA KIONGOZI mkubwa wa UKAWA.
CCM kumejaa wenye mtindio WA ubongo. Unamfananisha Mwenyekiti WA NCCR na Makamu WA Rais WA JMT ?Kuna maswali yaliulizwa humu kuhusu mume wa makamu wa raisi ni nani yakajibiwa vizuri na uzi watu waliujadili hadi basi picha zikaonyweshwa za mumewe vizuri na majibu murua yakatolewa.Na mimi naomba kuuliza mke wa Mbatia mwenyekiti wa NCCR na mbunge wa VUNJO MKEWE anaitwa nani tuwekewe na kapicha KA HUYO MKE WA KIONGOZI mkubwa wa UKAWA.
Tehe tehe tehe, Goodmorning mkuuUkawa huwa hawana majibu ya mambo yanayowahusu ila wana maswali ya mambo yanayohusu wengine.
Ni BABA samia suluhuMume wa makamu ni nani eti?
Ana mke na watoto wawili, wa kike na wa kiumeNinavyojua HANA MKE, HANA MTOTO!
Tuoneshe kwanza mumeoUkawa huwa hawana majibu ya mambo yanayowahusu ila wana maswali ya mambo yanayohusu wengine.
Sasa hivi mnajifanya kuficha eti siri siku likitokea la kutokea wakajitokeza wanawake 20 Na watoto Mia msije piga yowe.Wanaume wengi wafichao majina ya wake zao wasijulikane hadharani siku wakifa huwa balaa Yale Yale ya marehemu masaburi.Endelea kufichaAna mke na watoto wawili, wa kike na wa kiume
Ni family friend so nammanya!