Moyo_mkunjufu
New Member
- Aug 9, 2017
- 4
- 0
Nimeamua kuokoka kwenye kanisa moja jirani na mtaani kwetu, sasa jumapili ya wiki iliyopita mchungaji alizungumzia masuala ya kuoteshwa, juzi tukiwa kwenye maombi nikatangaza nimeoteshwa mke wa mchungaji kanisani, nashangaa mchungaji kanipa suspension ya miaka tisa na nusu[emoji15] [emoji30] [emoji31] [emoji30]
Usife kabla hujazikwa
Usife kabla hujazikwa