Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Wewe umefurahi?
 
I agree kaka, na madhaifu yake but jpm was not joking. Anakuweka pembeni regardless status yako and ilisaidia sana uwajibikaji
Sure, angalia pale Burkina Faso, wananchi wameamua kumlinda master wao, hiyo ndiyo ilipaswa nasi tujivunie ila wazee wa kudiverting hawakumpenda.
 
Lakini haikuwa sahihi mtumishi wa umma kupanda majukwaa ya kisasa;au yupo likizo bila malipo?😅
 
Nanukuu
"Muulize kati yake yeye na mimi nani ameumiza watu wengi sana"
Hivi mnakujia Daresalam nyie?
Sasa kule watu wengi sana aliwaumisa"😆
 
Tena hyo kumrudisha shulen ni kama wamemhurumia tu,ilitakiwa apigwe chini kabisa kwenye utumishi wa umma
 
Reactions: Tui
Akafundishe ndio profession yake, wamezidi uvivu
 
Nachoona, mke wa Gambo aliamua kufanya hivyo kwa sababu amechoka mume wake kudhalilishwa. Siyo kwamba hakujua kitakachotokea bali wameungana wanafamilia kwenye vita. Hapo mshahara utabaki wa uafisa elimu lakini atakosa yale madaraka ya uafisa elimu tu.

Baadae TAMISEMI watamrudishia uafisa elimu wake na kumuhamisha. Unajua ni kazi sana kwa mkuu wa shule aongoze staff ambayo ndani yake kuna mwl alikuwa afisa elimu!
 
The same thing, issue ya kutojengwa stendi mpya ya mabasi Gambo alikuwa source ndipo JPM akaona hawa hawapo seriously.

JPM alikuwa jembe ni basi tu.
Gambo mpuuzi sana,
Huwezi anza kuketa issue za kipuuzi eti stand ijengwe muriet sijui Olasit eneo ambalo utawalipa watu uliochukua maeneo yao ukaacha eneo ambalo limetolewa bure na mdau, just because una personal interest!
 
Reactions: Tui
Wacha wamalizane, kati yao hakuna mwenye manufaa na taifa hili, hizo ni hasara za taifa.
 
Dalikli za mvua ni mawingu!

Naona huu ni mwaka wa ukombozi kwa Tanganyika yetu!
 
Yule mke SI alivunja SHERIA ya utumishi akapanda jukwaa la siasa.. watumishi wa uma hawaruhusiwi kupanda kwenye majukwaanya siasa. Akijaribu mwemyewe
 
Halafu wote wa kuja wanataka kuuana kwenye jimbo la watu, Arusha kataeni wahuni hao.
Tatizo wenyeji nao wana mabifu yao ya kishamba sana... Arusha ina ukabila wa kijinga mno. Kuna wanaojiita waarusha (Wamasai wa Arusha) nao hujiona keki kuliko watu wa makabila mengine waliozaliwa na kukulia mjini Arusha. Kwenye uchaguzi wa UVCCM kulikuwa na harufu kali ya ukabila aliposhinda kijana wa kimbulu. Pia kuna wenyeji ambao wako CCM na CHADEMA kwa siri. Kuna makada wa CCM wengi Arusha wanaisapoti CHADEMA sirini. Hilo jimbo lina mambo meusi sana upande wa CCM. Tusipokuwa makini wapinzani wanaweza chukua jimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…