Kula kimasiharaNi shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
Mimi nakubanika kwanza ndio itakuwa mara yangu ya kwanza kula nyama ya mtuNi shem wangu anapitia kipindi kigumu na mumewe na ananishirikisha mpk siri zake za ndani na analalamika kuwa jamaa hamjali na hata huduma ya unyumba haipati nimemshauri mpk nimeshindwa kuwaweka sawa hii ipoje
πππππAchana na huo upuuzi. Jamaa yako akigundua anaweza kukuua. Mchunie mke wake ikibidi piga block π« kabisa. Huyo mwanamke hakutakii mema kabisa.
πππππwanawake sio wa kuwaamini,tena ogopa mwanamke anayeweza kutoa siri za ndani kwake kwa mtu baki wakati kuna wazazi wake hata kama ni sogea tuishi,nachojua nyumbani kukiwa na tatizo lazima kama familia mkae kwanza mujue tatizo ni nini
mwanamke pia unatakiwa kuangalia mwanamme anapitia changamoto gani kama psycholojia haiko sawa basi ujue na unyumba itakuwa shida.
Ushauri wangu kaa naye mbali