Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia najua utavumilia!! Pepo baya sana!! Na utashinda tu hii vita!
 
Mkule mkuu, hivi kwani huijui ile sheria namba 2 ya wanaume.
 
Huyo mtu hawezi kukupenda kuliko mumewe aliyemfanya awaache wazazi wake walio mzaa na kumkuza kwa upendo na kwenda kuishi na huyo mume. Kwako anataka tu kulipiza kisasi au kumuumiza mumewe, na kama anataka mumewe aumie, ipo siku atafanya vyovyote vile ili mumewe ajue ili aumie sasa itakapotokea hivyo ndipo utakapojuta kuzaliwa. Asikudanganye hamna siri katika katika kisasi, tunza heshima ya rafiki yako na kulinda ndoa yake. Kuwa serious, acha kupokea simu yake wala kujibu sms, usiende nyumbani kwake, kutana na rafiki yako juu kwa ju.
 
Fanya tendo la kiungwana, mwambie mke wako issue yote panga mkakati wa kumsaidia jamaa yako!!
Muombe mkeo kutoka naye out unganisha na huyo shemeji yako bila yeye kujua mipango yenu na mkeo, muite sasa huyo jamaa yako aje awakute eneo la kuburudika may be hotelini!! Weka mkeo sehemu mbali kidogo unapo muona wewe bila kuonekana na shemejio na mkae kwenye meza nyingine, akija jamaa akukute wewe pekee na mkewe hapo hapo na mke wako ajitokeze!!
Nia ni kumuonyesha huyo jamaa yako kuwa hata mkewe ni mali bado, umtie wivu halafu mtayazungumza wote kwa pamoja ku solve hiyo shida!! Ubarikiwe!!

 
Maisha yana kupanda na kushuka,hakuna mteremko,hakuna asiyekuwa na shida kila mtu ana matatizo yake ila watu wanatafuta usuluhisho kwa njia moja au nyingine. Inaeleka huyo mwana dada ameelemewa sana na kwasababu wewe ndio unamsupport anaona kapata wakumliwaza,na ndio maana amejenga hisia za kimapenzi na wewe.Mfano wewe ukitoka nae haitamrahisishia chochote katika maisha yake bali itamuongezea maumivu,utaharibu urafiki wako na utamuharibia yeye ndoa yake,utakosa mwana na maji ya moto!Wewe mwambie wazi kuwa huwezi kuwa nae kwasababu yeye ni mke mtu,haijalishi kama ataumia kwasababu unamzuia kutenda makosa ambayo atajutia baadae!SOMETIMES THE TRUTH NEED TO BE TOLD!
Na kama anaona maisha ya ndoa yamemshinda mshauri aachane na huyo mwanaume asijitese YOU LIVE YOUR LIFE ONCE,SO YOU SHOULD ENJOY IT INSTEAD OF MAKING MISERY OUT OF IT!
 

Kaka mie ningekushauri kuwa umtamkie wazi wazi huyo mwanamke kuwa hauko tayari na asirudie tena kukuripotia matatizo ya ndoa yake, kama ana matatizo ya ndoa awafahamishe wazazi wa muwewe au wazazi wake ili waje wakae nae. tabia ya huyo mwanamke kukuelezea matatizo ya ndoa yao wewe rafiki tu ni tabia za umalaya, kwahiyo kaka jieupushe na upuuzi huo. chunga sana shetani anaweza akakushawishi ukatenda mabaya lakini kumbuka siku ya kuumbuka ni moja tu. kaka wanawake ni wabaya sana chunga sana. unaweza kuta huyo mwanamke alikuwa amesha kutamani kitambo akawa anatafuta gia la kukuingia sasa kalipata na wewe ukiingia ujue utafedheheka utadharilika na utadharaulika sana ktk jamii kwa kuvunja ndoa ya rafiki yako.
 
Mbinu za kuvunja ndoa yangu na Paw? Hiyo sijui kama utafanikiwa labda kwenye ulimwengu ujao.

Hahahaaaaaa!!!!!! King'asti na wewe hautaniwi.

Yaani kuandika vile baaasi kila mda unadhani nakuandama.
 
Last edited by a moderator:
Mzee hapo kimbia sana kama unataka ki-MURDER katafute hukooo nje mbali sana!!!!!
 


Huo ni mshauri mbaya sana!!! amuhushishe mkewe??? Hell noooooo

Akimuhusisha mkewe tu basi hapo anakuwa na yeye ameyahamishia matatizo nyumbani kwake, na yule rafiki yake akijua kwamba mkewe alimtaka swahiba yake basi urafiki kwishne!! maana jamaa atakuwa na mashaka anaweza kufikiria kwamba huyu jamaa ameshakula mzigo. Hayo mambo ayaache kama yalivyo asiingie kabisa na wala asiwaambie watu.
 
Mimi nimeoa.

sasa si umwambie tuu,,,, kuwa huwezi mfanyia hivyo rafiki yako... na hakikisha huwi nae karibu....tena ni hatari, siku jamaa bahati mbaya akafuma kwenye outbox la mkewe ur no.....kaka urafiki umeisha,,,,jiahadhari nae sana...heshimu mke wa rafikiyo... hata kama analazimishia we mpotezee.....jaribu na kuongea na rafikio abadilike,,,, kozi huyo shemejio atatoka nje soon....magonjwa hayoooo yanawasogeelea...
 
nimejifunza kitu kipya hapa sijui tumekua au matatizo na changamoto za maisha zimetuzidi kiasi kuwa tumekuwa wastarabu very good coment sijapata kuziona kwa muda mrefu sana (zamani hapa ungeziona usiwe lofa mmege) lakini leo hii tunaona lugha za kujali na kuoneana huruma kwa ndoa zetu.
usijaribu hatari
 
Msukume kinyesi huyo, mbona unataka kupoteza bahati..!?
 
vizuri kama hutami kumsaliti jamaa...wee panga kuongea nae face to face na make r stand clear in no uncertain terms kuwa hilo haliwezekani....nothing gud has ever come out of affairs.

Leo gegedu umemshauri mtu asigegede..... wonderful..
 
Kosa na mumewe kutompa haki ya ndoa, sasa mama minyege kibao, we kamkune tu kaka ila usisahau dawa ya penzi, la sivyo hapatoshi hapo.
 
Shemeji yako amekosa furaha kwa muda mrefu katika nyumba yake, anadhani kukutaka wewe itakuwa suluhisho katika matatizo yake kumbe ndiyo anakaribisha matatizo zaidi. Tafuta muda uongee na rafiki yako ili kunusuru ndoa yake. Maana hata wewe ukimkataa atatafuta mtu mwingine wa kuwa naye karibu katika mahusiano.
 
vizuri kama hutami kumsaliti jamaa...wee panga kuongea nae face to face na make r stand clear in no uncertain terms kuwa hilo haliwezekani....nothing gud has ever come out of affairs.

unajua wanawake ni viumbe wa ajabu sana. na akikataa atamwambia mumewe kuwa jamaa alimtongoza akamkatalia ili amchonganishe kabisa na jamaa. hii dunia ngumu sana hasa unapokutana na masaibu kama haya na wewe sio firauni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…